Watu wengi huwatesa yatima wajane wagane masikini na mafukara wakizani wanawakomoa kumpe MUNGU HAKOLEWI
04/07/2023
Part22 binadam tujitahidi sana kuwatendea watu mazuri kwani hiyo ni hakiba yako na watoto wako cha kushangaza baada ya kuwa na maisha yanayo ereweka zinakuja lawama hawa watoto hawataki hata kututembelea wewe unategemea umfanyie mtu ubaya alafu akae anakufata wakati ulisema sitaki mbwa wa mtu atufate uliwanyanyasa wakilia unasema lieni na. Mungu wenu ndie alie muuwa mama yenu???
04/07/2023
Part 21 tulipo maliza masomo watoto wa doctor malitha kibuta tulianza kujitegemea kila mmoja lakini cha kutushangaza alijitokeza mama mdogo wetu akawa anatushawishi tumufungulie kesi mjomba ndie alie kula mali ya mama yetu kwakuwa na sisi tulikuwa watu wazima tulikaa tukafikilia na kupata majibu kwakujiuliza sisi tulinyimwa uhuru wa kuhudumiwa na baba yetu ili asije kubanwa kwenye mali za dada yake leo ndugu yake anatushauri tumsh*taki kaka yake huoni hii itatusabishia ndugu watuone sisi wabaya tutakuwa wageni wa nani tukashauriana tusifanye chochote tusamehe
04/07/2023
Tutaenderea na history
15/06/2023
Mama yetu doctor malietha kibuta aliporudi baada ya kulazwa siku 3 alikaa siku 1hali yake ika ngumu ikabidi arudishwe tena hospitali geita wakati yupo hospitali yule mtoto wa baba yake mkubwa na mama yetu doctor malietha kibuta aliagizwa aende bariadi akawaite baadhi ya ndugu alipo enda hakwenda kuwajurisha mpaka 4 siku ya tano ndipo akawambia wakamtanguliza wao wakatoka kesho yake wakaanza safari kwenda geita kwa mama walipo fika geita hawakumkuta alikuwa hajafika mpaka kesho yake ndio akaingia wakakuta mama yetu doctor malietha kibuta alisha fariki hawezekani hata kumsafirisha
15/06/2023
Dk15 baada ya mama kunywa chai tumbo lilianza kuuma ikabidi wenzie wamraze hapo hospitali hali ikawa mbaya ikapigwa rediocall wilaya geita warete msaada wa gari wakamchukua mpaka hospitali ya wilaya geita kwa sasa ni hospitali ya mkoa kwakua mama amewahi kufanya kazi hapo geita wakampokea akarazwa kwa siku 3 akapata nafuu akarudishwa
15/06/2023
Part 26 baada ya siku 3 kurudi mtoto wa baba yake mkubwa na mama yetu doctor malietha kibuta hapo nyumbani hapakuwa na mtu mzima tofauti na mjomba mama alienda kazini kutoka nyumbani k**a miter 50 dada yangu na kaka walikua shule k**a miter 200 kutoka nyumbani mimi nilikuwa nyumbani mjomba alipika chai tukanywa akamubkizia mama ilipo fika saa 4:30 mama alirudi nyumbani kunywa chai alipo maliza akarudi kazini alipo fika tu kazini ka dk15 tumbo lilianza kuumwa
Be the first to know and let us send you an email when maisha yangu 1980 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.