DAGI YOUTH CHOIR

DAGI YOUTH CHOIR 🌍Gospel Music Choir-Worship and Praise
⛪️Ministry under the guidance of
🇹🇿•Blessed and Chosen Generation•

06/04/2026

Nguvu ya MSALABA✝️❤️🫂

19/02/2026

Ametenda Bwana! | Dagi Youth Choir | Harusi ya Katibu Mkuu Remigius & Dada Alice đź’Ť

Ametenda Bwana, mambo makuu nasi tumefurahi! 🙌
Kipande cha wimbo “Ametenda Bwana” kikiimbwa kwa baraka nyingi na Dagi Youth Choir katika harusi takatifu ya Katibu Mkuu kaka Remigius na dada Alice 💒💖
Tunamshukuru Mungu kwa upendo, umoja na neema alizomwaga siku hii ya kipekee.

👉 Usisahau kusubscribe YouTube channel yetu:
đź”— https://www.youtube.com/channel/UC4sMjNJEh0J1qcHAAsikV3g

📲 Tufollow kwenye social media platforms zote:


Dagi Youth Choir – Blessed And Chosen Generation








Happy New Year 2026 — From Dagi Youth Choir 🎉✨Dagi Youth Choir tunawatakia vijana wote na familia ya waamini Heri ya Mwa...
01/01/2026

Happy New Year 2026 — From Dagi Youth Choir 🎉✨

Dagi Youth Choir tunawatakia vijana wote na familia ya waamini Heri ya Mwaka Mpya 2026 uliojaa amani, furaha, afya na baraka tele kutoka kwa Bwana. 🙏✨

Tunamshukuru Mungu kwa safari ya mwaka uliopita na tunaupokea mwaka mpya tukiwa na tumaini jipya, nguvu mpya na moyo wa kumtumikia Yesu kwa uimbaji na ibada. 🎶❤️

Dagi Youth Choir — Blessed and Chosen Generation. 🌿

31/12/2025

A Word of Blessing — From Dr. Josephine Lyengi 🙏

Tunamshukuru Mungu kwa neno la baraka lililotolewa na Mama Askofu Mkuu wa Kanisa la DAGI — Dr. Jisephine Lyengi katika ibada ya Thanksgiving O’Clock, iliyoandaliwa na Idara ya Vijana Christ Ambassadors (CAs).

Maneno yake ya imani, shukrani na kuinua kizazi cha vijana yameendelea kuwa nguvu, tumaini na mwongozo katika safari yetu ya kumtumikia Mungu.
Tunaamini — Baraka za Bwana haziondoki kwao wanaomtumainia. 🙏✨

Christ Ambassadors — Winning Souls, Building Generations.

31/12/2025

A Word of Blessing — From Bishop Dr. Germanus Lyengi 🙏

Tunamshukuru Mungu kwa neno la baraka lililotolewa na Askofu Mkuu wa Kanisa la DAGI — Bishop Dr. Germanus Lyengi katika ibada ya Thanksgiving O’Clock, iliyoandaliwa na Idara ya Vijana Christ Ambassadors (CAs).

Maneno yake ya imani, shukrani na kuinua kizazi cha vijana yameendelea kuwa nguvu, tumaini na mwongozo katika safari yetu ya kumtumikia Mungu.
Tunaamini — Baraka za Bwana haziondoki kwao wanaomtumainia. 🙏✨

Christ Ambassadors — Winning Souls, Building Generations.

29/12/2025

Thank You for Joining Us — Thanksgiving O’Clock Season 1 🙏

Tunamshukuru Mungu na tunawashukuru wote waliohudhuria ibada yetu ya THANKSGIVING O’CLOCK — SEASON 1 iliyofanyika katika Kanisa la DAGI, chini ya idara ya vijana Christ Ambassadors (CAs), tukishirikiana na idara za vijana kutoka makanisa jirani.

Ushirika wenu, maombi, uimbaji na ushiriki wenu vilifanya tukio hili kuwa la baraka kubwa na ushuhuda wa rehema za Mungu.
Tunaendelea kusema — Kila jambo ni kwa utukufu wa Mungu! 🙏✨

Dagi Youth Choir — Blessed and Chosen Generation.

19/12/2025

Twende kwa Yesu — Kuna Amani ya Milele 🤍

🎵 “Twende kwa Yesu wee, kuna amani ya milele…” 🙏✨
Yesu ndiye kimbilio letu, ndani yake kuna amani isiyo na mwisho.

👉 Tufollow katika mitandao yote ya kijamii
👉 Subscribe YouTube channel yetu kwa nyimbo na huduma zaidi

📺 https://youtube.com/?si=lQqdRCJPTNm6sVLe

🌿 Blessed and Chosen Generation 🌿

18/12/2025

Kuna Amani, Furaha na Upendo kwa Yesu 🤍

🎵 “Kuna amani, kuna furaha, kuna upendo kwa Yesu…” 🙏✨
Haya ndiyo maisha ya kweli ndani ya Kristo Yesu.

Tunaomba muendelee kutufollow katika mitandao yote ya kijamii na kusubscribe channel yetu ya YouTube kwa nyimbo na huduma zaidi 🙌

📺 Subscribe hapa:
https://youtube.com/?si=lQqdRCJPTNm6sVLe

🌿 Blessed and Chosen Generation 🌿

Address

Kimara Mwisho, (Vyumba Vinane/Mama Nunuu)
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DAGI YOUTH CHOIR posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category