Fabian Alfonce

Fabian Alfonce ✨ Karibu sana kwenye dunia ya muvi kali za kusisimuwa.
✨ Hutapata muvi mpya zinazo toka.
✨ Please follow my page

30/06/2026

25/06/2026

Time of Love __ Episode 8

Anza leo.Kusubiri hakujengi chochote.”
24/06/2026

Anza leo.
Kusubiri hakujengi chochote.”

Kuna siri moja kubwa wanayoitumia matajiri wa biashara kubwa k**a KFC au mabenki. Mteja akija kununua kitu kimoja, wanah...
23/06/2026

Kuna siri moja kubwa wanayoitumia matajiri wa biashara kubwa k**a KFC au mabenki. Mteja akija kununua kitu kimoja, wanahakikisha anaondoka na vitu viwili au vitatu. Hii inaitwa kuongeza "Thamani ya Kikapu" (Basket Value).

Ni rahisi kumuuzia mteja ambaye tayari yuko mbele yako kuliko kumtafuta mteja mpya mtaani. Ukijifunza mbinu hizi, mauzo yako yataongezeka kwa asilimia 30% bila kutumia hata shilingi moja ya ziada kwenye matangazo.

Hapa kuna mbinu za kuongeza mauzo kwa kila mteja:

1. Mbinu ya "Je, Ongeza na Hiki?" (Upselling)
Mteja anapochagua bidhaa ndogo, mshauri achukue kubwa zaidi kwa kumuonyesha faida.

Mfano: K**a mteja anataka mbolea ya kilo 1 kwa 5,000/-, mwambie: " ukichukua ya kilo 5 kwa 22,000/-, unaokoa 3,000/- na hutapata usumbufu wa kurudi tena dukani mapema."

2. Mbinu ya "Bidhaa Rafiki" (Cross-selling)
Mteja akinunua bidhaa moja, mnyooshee kidole bidhaa nyingine inayoendana na hiyo aliyonunua.

Mfano: K**a mteja amenunua mbegu za nyanya, usinyamaze. Mwambie: "Hongera kwa kuanza kilimo, je, unayo dawa ya kuzuia wadudu wasiharibu miche yako michanga? Ninayo hapa nzuri sana."

3. Weka Bidhaa Ndogo Ndogo Karibu na Kaunta
Hii ni mbinu ya kisaikolojia. Weka vitu vidogo vidogo ambavyo mteja anaweza kuvihitaji "ghafla" (impulse buying) sehemu anayolipia pesa. Inaweza kuwa p**i, kiberiti, kalamu, au sabuni ndogo. Mteja akiona, atasema: "Aaah, niongezee na hiki pia."

4. Tengeneza Sababu ya Yeye Kurudi (Next Purchase)
Mteja akishamaliza kulipa, mpe sababu ya kurudi tena.
"Asante sana kwa kununua leo. Wiki ijayo nitapokea mzigo mpya wa vifaa vya kisasa, nikuhifadhie kimoja?" Hii inamfanya mteja ajione ni wa muhimu na anaanza kuipangia biashara yako bajeti ya mwezi ujao.

Usiwe "Mpokea Pesa" tu, kuwa "Mshauri wa Manunuzi." Msaidie mteja apate kila kitu anachohitaji ili asipate tabu ya kwenda kutafuta sehemu nyingine. Akiridhika, mfuko wako utajaa.

Naitwa Fabian Alfonce Og
Je, ni bidhaa gani mbili kwenye duka lako ambazo mara nyingi wateja huzinunua kwa pamoja? Niandikie hapa chini tujue namna ya kuzitangaza k**a 'Seti' moja! 🚀

23/06/2026

Time of Love _ _ Episode 5
Time of Love _ _ Episode 5

Naomba sapoti yenu my friend,Kwa sababu Mimi pekeyangu ziwezi
22/06/2026

Naomba sapoti yenu my friend,Kwa sababu Mimi pekeyangu ziwezi

22/06/2026

Ndoa ♥️ _ _ Episode 1 33
Ndoa ♥️ _ _ Episode 1 33

21/06/2026

Time of Love _ _ Episode 4
Time of Love _ _ Episode 4

Sehemu 6

Address

Kitundu Apartments
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fabian Alfonce posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category