Gender related issues in the community

Gender related issues in the community Both male and female contribute to development, if one side lay behind reduces workforce and get into being dependence.

Gender related issue in the community provide basis place where gender based issues placed and get learn and provide most community page for both male and female around the globe,

the page shall manage to secure real facts on gender based issues like Gender based violence, early marriage and more which arises in the community and some cultural practices that fueled increase of engendered issues.

Furthermore the page provide the research reports on community affairs, relationship between disadvantaged groups in the community and how they can contribute to the society.

16/11/2025

UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA
Takwimu muhimu kwa ufupi
• Wahanga walioripoti kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji
wameongezeka kwa asilimia 22.5 kutoka 30,566 mwaka 2022 hadi 37,448 mwaka 2023;
• Katika kipindi cha mwaka 2022 na 2023 Wahanga wengi walikuwa ni wanawake (21,466mwaka 2022 na 25,420 mwaka 2023) kuliko wanaume (9,100 mwaka 2022 na 12,028 mwaka 2023);
• Idadi ya wahanga wa ukatili wa kingono wameripotiwa kuongezeka kwa asilimia 30.1 kutoka wahanga 11,028 mwaka 2022 hadi kufikia wahanga 14,354 mwaka 2023;
• Idadi kubwa ya wahanga waliripotiwa katika Mkoa wa Dar es Salaam mwaka 2023 (wahanga 10,391) sawa na asilimia 27.7 ya wahanga wote ikifuatia na Arusha (4,565) sawa na asilimia 12.2 na mkoa ulioripotiwa kuwa na wahanga wachache zaidi ni Kusini Pemba (101) sawa na asilimia 0.3;
• Mkoa unaoongoza kwa kuwa na wahanga wengi wa wanawake kubakwa katika kipindi cha miaka 2022 na 2023 ni mkoa wa Dar es Salaam (1,081 na 1,234). Ubakaji umeongezeka zaidi katika mkoa wa Morogoro kutoka wanawake 164 hadi 525;
• Ukatili wa wanaume kulawitiwa umeonekana kuwa na ongezeko katika mikoa yote katika kipindi cha mwaka 2022 na 2023. Katika kipindi cha mwaka 2023, mkoa wa Dar es Salaam (wahanga 412) unaongoza ukifuatiwa na mkoa wa Arusha (wahanga 237) na mkoa wa Mjini Magharibi (wahanga 215);
• Katika mwaka 2023, mikoa inayoongoza kuwa na ukatili wa kubakwa kwa wanawake wenye umri wa miaka 18 na zaidi ni mkoa wa Arusha (wahanga 80), Dodoma (wahanga 78) na Dar es Salaam (wahanga 74) na mikoa iliyoongoza katika kulawiti ni Arusha
(wahanga 29, wanaume 22 na wanawake 7) na Dar es Salaam (wahanga 23, wanaume
19 na wanawake 4);
• Ukatili wa kijinsia kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 18 uliongezeka kutoka watoto
12,163 (wasichana 9,962 na wavulana 2,201) mwaka 2022 hadi watoto 15,301
(wasichana 12,098, wavulana 3,203) mwaka 2023;
• Katika kipindi cha mwaka 2023, mikoa iliyoongoza kwa watoto wa k**e walio chini ya miaka
18 kubakwa ni Dar es Salaam (1,160), Mjini Magharibi (556), Morogoro (502) na Tanga
(500) na mikoa iliyoongoza katika kulawiti ni Dar es Salaam (Jumla ya wahanga 454, wavulana 393 na wasichana 61) ikifuatiwa na Mjini Magharibi (wahanga 224, wavulana 215 na wasichana 9), Arusha (wahanga 222, wavulana 215

26/07/2025

Two more trainings have been added to our Circles of Safety prevention training calendar for 2025!

There is now another opportunity to enroll Circles of Safety: Awareness to Action in September and another opportunity to take Circles of Safety: Training of Trainers in December.

See all of our available trainings for 2025 on our Virtual Classroom page: https://www.stopitnow.org/virtual-classroom-series

Kwa kipindi cha hivi karibuni kumekua na ongezeko la kasi sana la matukio ya ukali wa kijinsia yanayofanya na jamii, mba...
19/07/2025

Kwa kipindi cha hivi karibuni kumekua na ongezeko la kasi sana la matukio ya ukali wa kijinsia yanayofanya na jamii, mbaya zaidi matukio haya yanafanywa na watu wa karibu, k**a mama, baba, kaka, dada, mjomba, nk, hii inatishia ustawi wa watoto wetu,

vyombo vya habari vimekua mstari wabele kuripoti matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii, si ajabu kusikia mwalimu abaka mwanafunzi, baba amlawiti mtoto wa kumzaa, nk, hivyo hili suala si la serikali ni wajibu wa jamii nzima kuamka na kekemea vikali tabia hii, pia, kujikita kwenye malezi bora ya watoto,

19/07/2025

This new study uses Stop It Now! metrics to meet the need for more information about how the pandemic may have caused changes in the help-seeking behavior of people who have concerns about their thoughts and behaviors regarding children.

https://doi.org/10.5964/sotrap.14301

Concerns about the impacts of the COVID-19 pandemic on child sexual exploitation and abuse have been expressed by police and child protection organizations, but, until now, there has been limited data available on this time period. By examining helpline and webpage metrics from two organizations – Stop It Now! USA and Lucy Faithfull Foundation's Stop It Now! UK and Ireland – that provide resources about child sexual exploitation and abuse prevention, including self-help pages for people concerned about their sexual thoughts or behaviors involving children, the researchers discuss the potential implications of the pandemic and consequences for perpetration prevention.

19/07/2025

In case you missed it, our partners at the Center for Violence Prevention Research recently published a paper related to our youth service, WhatsOK!

The publication focuses on the people we help on WhatsOK, youth ages 14 - 21 who have concerns about their own sexual behaviors, and explores how these youth can meaningfully and safely engage in research.

Valuable insights from the publication can be viewed in the summary brief below.

19/07/2025

Stop It Now!, in collaboration with the National Domestic Violence Hotline, is conducting a survey to
learn about victims and survivors’ experiences with online abuse and harassment, also known as tech-facilitated abuse.

Complete the anonymous survey today, and make your voice heard! Sharing your insights will help shape future services and policies and expand resources for survivors nationwide. The survey should only take five minutes.

Click here to take the survey: https://www.surveymonkey.com/r/LJ8J83W

Please share this post to help reach those who might want to
participate.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gender related issues in the community posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Gender related issues in the community:

Share