07/08/2026
Mnamo mwaka 2007, kulikuwa na utafiti uliochapishwa kwenye ๐๐ก๐ ๐๐๐ฐ ๐๐ง๐ ๐ฅ๐๐ง๐ ๐๐จ๐ฎ๐ซ๐ง๐๐ฅ ๐จ๐ ๐๐๐๐ข๐๐ข๐ง๐ โ moja ya majarida makubwa sana ya tiba duniani. Utafiti huu ulikuwa unaangalia jambo moja tu: ๐๐ฃ๐๐ฌ๐๐ฏ๐๐ ๐๐ฃ๐ ๐ ๐ฌ๐๐ก๐ ๐ช๐ฃ๐๐ฃ๐ ๐ช๐ ๐๐๐ฉ๐๐๐ง๐๐ฌ๐ ๐ฃ๐ ๐ฌ๐๐ฉ๐ช ๐ฌ๐๐ฃ๐๐ค๐ ๐ช๐ฏ๐ช๐ฃ๐๐ช๐ ๐?
Watafiti wakachukua kundi la watu ๐๐,๐๐๐, ambao walifuatiliwa kwa zaidi ya miaka 30 (kuanzia 1971 hadi 2003) kupitia ๐
๐ซ๐๐ฆ๐ข๐ง๐ ๐ก๐๐ฆ ๐๐๐๐ซ๐ญ ๐๐ญ๐ฎ๐๐ฒ. Kila mmoja alikuwa na taarifa zakeโuzito wake, pamoja na mahusiano yake ya karibu k**a marafiki, ndugu, wenza wa ndoa na hata majirani.
Kilichoonekana ni kwamba mabadiliko ya uzito kwa mtu mmoja yalikuwa yanaenda sambamba na mabadiliko kwa watu wake wa karibu. Kwa mfano, k**a rafiki yako akiwa ๐ค๐๐๐จ๐, uwezekano wako wa wewe kuwa obese unaongezeka kwa takribani ๐๐%. Kwa ndugu wa damu unaongezeka karibu ๐๐%, na kwa wanandoa karibu ๐๐%. Pia waligundua kuwa k**a rafiki yako ni wa jinsia inayofanana na wewe, kuna uwezekano mkubwa zaidi wa kuathiriana kuliko rafiki wa jinsia tofauti.
Hii inamaanisha kuwa katika maisha, ๐จ๐ค๐๐๐๐ก ๐ฃ๐๐ฉ๐ฌ๐ค๐ง๐ ๐จ, yaani watu unaoishi nao na kushirikiana nao, zina nguvu kubwa sana katika kuathiri tabia zako na hali yako ya kiafya, ikiwemo unene.