Free Generation Choir

Free Generation Choir � Youth Free Generation under@feel_free_church_dar
�Gospel Music Choir
�Heading to

25/08/2026

SYNERGY OF GRATITUDE
_ Hearts, One Voice of Thanksgiving_

Tar 6/9/2026

FREE GENERATION CHOIR  INACHUKUA NAFASI HII KUKUALIKA/KUWAALIKA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KATIKA TUKIO LETU KUBWA LA KUTIM...
20/08/2026

FREE GENERATION CHOIR INACHUKUA NAFASI HII KUKUALIKA/KUWAALIKA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KATIKA TUKIO LETU KUBWA LA KUTIMIZA MIAKA MIWILI YA HUDUMA HII TANGU KUANZA KWAKE,
ITAFANYIKIA KATIKA KANISA LA FEEL FREE CHURCH HQ Dar Es Salaam CHINI YA BISHOP Masanja Mkandamizaji
ITAKUA Tar 6/09/2026
HIVYO BASI, TUTAFURAHI SAANA KUKUONA NA KUJUMUIKA PAMOJA NASI

03/08/2026

TUNAKUKARIBISHA KANISANI FEEL_FREE_CHURCH_DAR , NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI, KWA UPENDO WAKIPEKEE AMBAO MUNGU KATUPATIA CHINI YA BISHOP Emmanuel Mgaya Masanja Mkandamizaji, KARIBUNI SAANA NA TUNAWAPENDA SAANA

29/07/2026

Free Generation Choir Rehearsal

27/07/2026

Tunamshukuru Mungu kwa kutupa waimbaji wa kimataifa na huduma yetu kuipaisha kimataifa huku tukihudumu chini ya Bishop Emmanuel Mgaya (Masanja mkandamizaji) , hakika huu ni mwaka wa kufurahishwa.

14/07/2026

Wimbo unaitwa MBALI kutoka FREE GENERATION CHOIR

05/07/2026

Mbai Free Generation Choir

🎉 Happy Birthday, Divana! 🎂Free Generation Choir, tunakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa. Mungu akuongezee miaka yeny...
02/07/2026

🎉 Happy Birthday, Divana! 🎂
Free Generation Choir, tunakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa. Mungu akuongezee miaka yenye afya, neema, hekima na mafanikio. Uendelee kung'ara katika huduma na kuwa baraka kwa wengi.
Tunakuombea kila la heri. Happy Birthday! 🎉❤️

29/06/2026

Hot 🔥 Song From Free Generation Choir, named MBALI

29/06/2026

HOT SONG FROM FREE GENERATION CHOIR, NAMED MBALI

Address

Feel Free Church HQ
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Free Generation Choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category