KFP Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KFP, Dar es Salaam.

Huu sio mti..Huu ni Mputika💀..Alikatwa kichwa lakini hakufa..Na mimi namlinda😭💍...
Mimi ni mfalme wa Saa Nne👑 Nimepita miti yote Kulinda mputika wangu🌳
Tupo 120/1000 je Wewe ni namba ngapi?

Karibuni kwenye page yangu🙏🙏
17/06/2026

Karibuni kwenye page yangu🙏🙏

06/06/2026

Bwana Yesu, Ndege analia mbinguni mimi naomba Duniani🐦
Nifundishe kuwa na hekima,... Kwa mabadiliko na kwa mlago mpya🚪, Nifungulie..Amina🙏

05/06/2026

Ndege wakilia..Mimi napata Pumziko🐦
No WiFi..No stress..just me, ndege na sauti ya mbinguni😆😆


04/06/2026

Leo SAA NNE nilikuja kuongea na ndege..🐦
Kumbe miti yote ilikuwa inanisikiliza👁️👁️

Sasaivi nahisi K**a kuna kitu nyuma yangu😭🏃



04/06/2026

Ndege analia si kwasababu hana mbawa...Analia kwasababu anga limekuwa giza☁️
K**a Nawewe pia unalia kimya kimya leo, jua tu Asubuhi mpya inakuja kwaajiri yako🙌🙏


28/05/2026

Unajua mti mmoja mkubwa hutoa Oksijeni ya kutosha kwa watu 4 kwa Siku🌳.

Tunapokata miti ovyo kiholela tunapinguza Oksijeni yetu wenyewe

Hifadhi miti... Hifadhi mapafu yako

Andika "Sikati mti" k**a utashiriki katika hili🙏


27/05/2026

Ee Bwana, hata upepo na ndege wanakusifu kwa sauti zao.
Uumbaji wako wote..unashuhudia ukuu wako🌳
Mbingu zinatangaza utukufu wa Mungu" (zaburi 19:1)

Umewahi kusikia sauti ya mungu? Au andika "Amen" K**a umeguswa🙏🙏

26/05/2026

Ee Bwana, Angalia jinsi uumbaji wako unavyoharibiwa.
Ndege analia, Mti umekatwa, na Moyo wangu unalia kimya.
"Tulipewa utawala juu ya uumbaji, Lakini tumekuwa waharibifu."
Tusamehe Ee Mungu, na utusaidie kuwa walinzi wa dunia yako🌳
(Zaburi 104:24)

Wewe unahisi nini ukiona Hivi? au andika "Amen" k**a unakubali tuombe kwa ajili ya uumbaji🙏

26/05/2026

Ee Mungu, Uwasamehe kwa kuharibu ulichokiumba kwa...Hekima.
Mti huu ilikuwa ni ushuhuda wa nguvu yako Sasa limebaki shina tu.
Ndege wanalia na dunia inalia kimya. 'Dunia ni ya Bwana na....Utimilifu wake. (Zaburi 24:1)

Wewe umewahi kupanda mti?..K**a jibu ni "Ndio" ni mti wa aina gani?🌳

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KFP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share