Yanayojili dayl

Yanayojili dayl Maisha ndo aya aya

Weka namba chap 🍑 uone mambo inaa💥💥💥amishiwa nyuma
07/03/2026

Weka namba chap 🍑 uone mambo inaa💥💥💥amishiwa nyuma

12/02/2026
30/01/2026

Pesa 🔥🔥🔥pesa 😂😂

Odds 23 💥💥💥💥 tar 22/01 🔥🔥🔥
22/01/2026

Odds 23 💥💥💥💥 tar 22/01 🔥🔥🔥

Ii 💥💥show sio ya kitoto weka namba nikulushie utam💥💥
20/01/2026

Ii 💥💥show sio ya kitoto weka namba nikulushie utam💥💥

🔥🔥🔥🔥🔥🔥chambua apo sas odds
16/01/2026

🔥🔥🔥🔥🔥🔥chambua apo sas odds

Boom🔥🔥🔥 16/01
16/01/2026

Boom🔥🔥🔥 16/01

15/01 twende woote 💥🔥🔥🔥🔥🔥jalibu
15/01/2026

15/01 twende woote 💥🔥🔥🔥🔥🔥jalibu

Kazi kwako Big win💥💥 boom💥💥💥
15/01/2026

Kazi kwako Big win💥💥 boom💥💥💥

Tar 15/01 Boom💥💥💥 boom🔥🔥
15/01/2026

Tar 15/01 Boom💥💥💥 boom🔥🔥

“Nimemsikia Bobi Wine akisema Maaskari ni wachache kuliko idadi ya Waandamanaji ambao ni wengi, kifupi nawashauri msimwa...
18/12/2025

“Nimemsikia Bobi Wine akisema Maaskari ni wachache kuliko idadi ya Waandamanaji ambao ni wengi, kifupi nawashauri msimwamini maana kila Askari na Polisi ana bunduki yenye risasi 120 hivyo hesabu idadi ya risasi kwa kila Bunduki”

- General Yoweri Kaguta Museven, Rais wa Uganda 🇺🇬

Kaburi la Mzee Martin Kiyeyeu aliyefariki mwaka 1974, k**a linavyoonekana katika picha kando ya barabara ya Iringa-Mbeya...
07/12/2025

Kaburi la Mzee Martin Kiyeyeu aliyefariki mwaka 1974, k**a linavyoonekana katika picha kando ya barabara ya Iringa-Mbeya
Kaburi la Kiyeyeu lipo katika Njiapanda ya Mlolo, pembezoni mwa barabara kuu iendayo Mbeya ukitokea Iringa, upande wa kulia ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Ni kaburi la mganga maarufu wa jadi aliyewahi kuhudumu katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo. Ingawa alifariki miaka mingi iliyopita, kaburi lake linaonekana k**a limejengwa jana kutokana na uimara na muonekano wake.

Inasemekana kuwa baada ya kifo chake alizikwa kwa kufuata taratibu za kimila za Machifu, ambapo alizikwa akiwa ameketi na akiwa amesindikizwa na mtu aliye hai aliyejitolea kuzikwa naye. Hadi leo, kaburi hilo limeendelea kuwashangaza watu wengi kutokana na maajabu yanayolizunguka.

Moja ya matukio yaliyowahi kutokea na kush*tua wengi ni wakati Shirika la Umeme (Tanesco) lilipokuwa likiweka nguzo za umeme kando ya barabara hiyo. Nyaya za umeme zilipofikishwa eneo lililopakana na kaburi la Martin Kiyeyeu, nguzo zilipita eneo hilo na nyaya zika pita juu ya kaburi hilo chakushangaza ni kwamba umeme ulipita vizuri kabla na baada ya eneo la kaburi, lakini juu ya kaburi hilo pekee hakukuwa na msongo wowote wa umeme. Tukio hilo liliwashangaza hata wahandisi wa Tanesco, na hatimaye wakaamua kuhamisha baadhi ya nguzo ili kulipisha eneo hilo.

Inadaiwa pia kwamba kulishindikana kuliondoa kaburi hilo mara mbili, na katika majaribio hayo watu wawili walipoteza maisha mmoja akishambuliwa na nyuki, na mwingine kufariki ghafla akiwa anaendesha tingatinga kwaajili ya kuliing’oa kaburi hilo. Baada ya matukio hayo, mila na matambiko yalifanyika, na hatimaye kaburi hilo pamoja na mengine 21 yaliyokuwa eneo hilo yalihamishiwa upande wa pili wa barabara, ambako tayari kulikuwepo kaburi la mtoto wa k**e wa Kiyeyeu.

Hadi leo, simulizi la Kaburi la Kiyeyeu limeendelea kuwa miongoni mwa masimulizi yanayovutia watu wengi kutokana na maajabu na ya eneo hilo

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanayojili dayl posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category