04/07/2025
Wao si binadamu wa kawaida...
Wanakufa... lakini hufa kabisa.
Wanafyatuliwa risasi... lakini majeraha yao hujifunga sekunde chache tu!
Hawa ni wanajeshi waliobarikiwa au kulaaniwa na uzima wa milele.
Lakini sasa, siri yao imevuja!
Mataifa makubwa, majeshi ya kijasusi, na wanasayansi wa kishetani wameanza kuwanasa mmoja mmoja.
Wanataka kuwachinja vipande vipande kwa majaribio — ili kuchota siri ya kuishi milele.
Wanaongozwa na malkia wa kivita — Andromache of Scythia, maarufu k**a Andy —
Demu wa ajabu ambaye ameishi kwa zaidi ya miaka 6,000!
Sasa amelazimika kurejea vitani, sio kwa ajili ya dunia, bali kwa ajili ya watu wake wachache waliobaki.
Lakini hatari imebadilika...
Mmoja wao amewasaliti.
Na adui mpya ni mwerevu, tajiri, hana huruma... na ameapa kuwafuta wote kwenye uso wa dunia.
Hii ni The Old Guard 2 – muendelezo mkali wa mfululizo uliotikisa Netflix!
🟢 Bei ni 1,000/= tu
🟢 Ipo WhatsApp 📲 0673 584 553
👇 Unachotakiwa kufanya:
Tuma neno "OLD GUARD" WhatsApp kwa namba hiyo hapo juu,
📥 Na utapokea link ya mzigo wako fasta!