Geto misosi

Geto misosi Misosi halisi ya getoni
Tunakula, tunasema ukweli
Chakula cha kweli bila kupindisha
Ladha bila filter

07/02/2026

This is low budget food n***a

Ki getogeto unapoa alone πŸ’―πŸ’―

07/02/2026

This is low life budget
Ukiwa na buku 2,200/= Tshs

Michele nusu Tshs 1,400
Nanyang Tshs 200
Kitunguu Tsh 100
Viazi Tsh 500

Unakula unashiba yaani na kubaki

πŸ“œ Historia ya Namba 0 hadi 9  Asili ya Kihindi (India)Namba tunazotumia leo (0–9) zinatokana na mfumo wa namba uliogundu...
09/08/2025

πŸ“œ Historia ya Namba 0 hadi 9 Asili ya Kihindi (India)
Namba tunazotumia leo (0–9) zinatokana na mfumo wa namba uliogunduliwa na Wahindi wa kale. Mfumo huu unaitwa Hindu-Arabic numeral system, kwa sababu ulianzia India na baadaye kuenezwa duniani kupitia Waarabu.

πŸ”’ 1 hadi 9
Wahindi walikuwa wa kwanza kutumia alama maalum kwa kila namba kutoka 1 hadi 9.

Mfumo huu ulikuwa wa kipekee kwa sababu ulihusisha msingi wa 10 (decimal system), ambapo namba hupangwa kulingana na nafasi (units, tens, hundreds n.k).

Namba hizi zilianza kutumika kuanzia karne ya 3 hadi 5 BK.

0 (Sifuri)
Sifuri iligunduliwa rasmi na mwanahisabati wa India aitwaye *Brahmagupta* mnamo karne ya 7 BK.

Alitumia alama ya nukta (.) kuwakilisha nafasi isiyo na kitu, kisha ikabadilika kuwa sifuri (0).

*Brahmagupta* pia aliandika kanuni za hesabu kwa kutumia sifuri, k**a vile:
a + 0 = a, a – 0 = a, na kujaribu pia a Γ· 0 (ingawa hii bado haikubaliki kisayansi hadi leo).

Na waarabu walieneza mpaka Sasa tunazitumia βœ…

MIKHAIL KALASHNIKOV MVUMBUZI WA AK-47                      Alizaliwa tarehe 10 Novemba 1919 katika kijiji cha Kurya, Uru...
09/08/2025

MIKHAIL KALASHNIKOV MVUMBUZI WA AK-47
Alizaliwa tarehe 10 Novemba 1919 katika kijiji cha Kurya, Urusi, na alikufa tarehe 23 Desemba 2013 katika Izhevsk .
βœ…Mwaka 1947, mwanajeshi wa Kirusi Mikhail Kalashnikov aligundua bunduki maarufu duniani AK-47, kifupi cha "Avtomat Kalashnikova 1947."
βœ…Alivumbua bunduki hii baada ya kujeruhiwa vitani, alipokuwa akisikia askari wenzake wakilalamika juu ya silaha dhaifu. Hapo ndipo akaamua kubuni silaha rahisi kutumia, ya bei nafuu, isiyokwama kirahisi, na inayofaa mazingira magumu ya vita.

πŸ› οΈ Leo, AK-47 inabaki kuwa silaha ya kivita inayotumika zaidi duniani, ikiwa na zaidi ya milioni 100 zilizotengenezwa!

πŸ‡·πŸ‡Ί Kutoka Urusi hadi mataifa zaidi ya 100 , AK-47 imeacha alama katika historia ya kijeshi duniani.

βœ… Fun Fact: Kalashnikov hakuwahi kupata utajiri kutokana na uvumbuzi wake alisema aliitengeneza kwa ajili ya kuwalinda raia wa nchi yake, si kwa biashara!

βœ…Kauli ya Majuto (2013):

Mnamo mwaka 2013, miezi michache kabla ya kifo chake, Kalashnikov aliandika barua ya kugusa moyo kwa Kanisa la Orthodox la Urusi, akimuandikia Patriarch Kirill, kiongozi wa kanisa hilo.

Katika barua hiyo, Kalashnikov aliandika.

"Maumivu yangu ya kiroho hayawezi kufutika. Swali linaendelea kuniumiza: Je, mimi k**a muumini wa kweli ni na hatia ya vifo vya watu wote waliouawa kwa bunduki yangu?"

New release, πŸ†• song ,OUT NOWBy  Song  Available to all Digital platform πŸ“Œ
29/07/2025

New release, πŸ†• song ,OUT NOW
By
Song

Available to all Digital platform πŸ“Œ

Ahsante mungu πŸ™ kwa hili Jambo siku ya Jana limeisha salama tunashukuru sana limeisha  Ahsante wote tulioshiriki na hata...
21/07/2025

Ahsante mungu πŸ™ kwa hili Jambo siku ya Jana limeisha salama tunashukuru sana limeisha
Ahsante wote tulioshiriki na hata ambao hamkushiriki Ila mlitufanyia Dua mpka Leo limeisha

πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Kila script ni nafasi ya kuonesha ndoto, maumivu, mapenzi na matumaini.Kamera ni mashahidi, lakini kalamu yangu ndiyo mt...
28/06/2025

Kila script ni nafasi ya kuonesha ndoto, maumivu, mapenzi na matumaini.
Kamera ni mashahidi, lakini kalamu yangu ndiyo mtoa hukumu.
Karibu kwenye dunia ya hadithi zinazogusa moyo.

Filmmaking siyo tu kamera, ni kuona maisha kwa macho ya ndoto.Kila mistari ya script ni pumzi ya wahusika, kila scene ni...
28/06/2025

Filmmaking siyo tu kamera, ni kuona maisha kwa macho ya ndoto.
Kila mistari ya script ni pumzi ya wahusika, kila scene ni moyo wa hadithi.
Naamini katika nguvu ya maneno kubadilisha dunia na safari yangu imeanza hapa.

Am script writer

Address

Tanzania οΏ½
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Geto misosi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share