19/04/2025
Unatafuta ladha ya kipekee ya muziki kwenye tukio lako?
Tunakuletea huduma ya kisasa ya upigaji muziki (DJ/PA System) kwa:
๐ฅณ Harusi
๐ Mahafali
๐ Engagement Parties
๐Send-off
โฐ๏ธ Misiba (muziki wa heshima na mpole)
๐ฃ๏ธMikutano na semina
Kwa sauti safi, muziki unaochagiza furaha au faraja, na vifaa vya kisasa vya sauti โ tunaifanya kila tukio kuwa la kipekee
Wasiliana nasi leo kwa nafasi yako!
๐ 0656 004800
๐ Huduma zinapatikana Dar nzima