Salim Samil

Salim Samil Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Salim Samil, Arts and entertainment, Msasani beside MayFair Hotel, Dar es Salaam.

( KARIBU MUSIC FESTIVAL   ) Mambo vipi tanzania hii ni yenu teeeena (   fahari ya Mtanzania
05/11/2015

( KARIBU MUSIC FESTIVAL ) Mambo vipi tanzania hii ni yenu teeeena ( fahari ya Mtanzania

01/07/2015

TANZANIA'S INTERNATIONAL MUSIC FESTIVAL

12/01/2015

Ndivyo ilivyo Kuwa

09/01/2015

Hii Ni Cali zaidi ya Swag 2na teach zaidi ya Kudagi we all Swagy

Maneno ya Diamond Platnumz kuhusu tuhuma za kudhalilisha wasanii wa MombasaL"Nimesikitishwa Sana na habari zilizoandikwa...
17/12/2014

Maneno ya Diamond Platnumz kuhusu tuhuma za kudhalilisha wasanii wa MombasaL
"Nimesikitishwa Sana na habari zilizoandikwa na moja ya chombo cha habari, kuwa eti nliwanyanyasa wasanii wenzangu Nyota ndogo na Susumila, kwa kuwafukuza kwenye VIP lounge na sijui eti niliwazuia wasitumie maji ya chupa hivi inaingia akilini kweli hii!!!?? Ningependa kutumia nafasi hii kuwajulisha mashabiki zangu waliokutana na story hizo kuwa sio za kweli ni zenye lengo la kudhoofisha Mahusiano yetu mazuri ya wasanii Wa Africa mashariki..k**a BigEye ya Uganda ilivyowahi kuandika habari za upotoshaji Kati yangu na Jose Chameleone..
Pia Nawasihi ni vyema mtambue Nafasi yenu kwenye jamii kwa sasa, Kuweni makini na baadhi ya habari mnazo post ama kureport kutoka baadhi ya mitandao, zinavunja mahusiano mazuri ya wasanii wa East Africa...kumbukeni kuna watu wana tabia ya kujudge kitu kwa kusoma kichwa cha habari tu pasipo kufuatilia undani wa habari...Yawezakuwa mwaandika kwa nia njema tu, lakini ni vyema muwe mnapata na uhakika kwanza kabla ya kuripoti, hususan story za kutengeneza chuki k**a hizi....kufanya hivyo ndiyo mtasaidia kukuza industry yetu ya East Africa..."

15/12/2014

Blue Amwaga Pesa Akiwa Anaimba Pesa Official Audio ndani ya : After School Bash

15/12/2014

Keep in touch

Official Video ya Ayanma Alioifanya Msanii toka NIGERIA anaekwenda kwa jina la ID JAY
13/12/2014

Official Video ya Ayanma Alioifanya Msanii toka NIGERIA anaekwenda kwa jina la ID JAY

The Official Video for 'AYANMA by ID JAY Directed by Jerry Mushala. ©2014 Follow me on www.facebook.com/IdJay Instagram .

Just Now at Escape 1
13/12/2014

Just Now at Escape 1

Address

Msasani Beside MayFair Hotel
Dar Es Salaam
00255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Salim Samil posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share