Gladness Malakasuka

Gladness Malakasuka Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Gladness Malakasuka, Art, Dar es Salaam.

Una wig yako imechakaa, imechafuka,  imefungana fungana,  unatamani kuivaa lakini huwezi kwakuwa imechakaa muonekano mba...
30/07/2020

Una wig yako imechakaa, imechafuka, imefungana fungana, unatamani kuivaa lakini huwezi kwakuwa imechakaa muonekano mbaya.๐Ÿ˜”

Unataka uitupe ata usiitupe, tutaifanyia treatment wig yako kwa ubora na kwa products nzuri OG๐Ÿ’ฏ wig yako itarudi Kwenye muonekano mpyaa. Kwa Tsh. 20,000/=

Tunapokea wigs mikoa yote ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟKaribuni call us/WhatsApp 0673564669
๐Ÿ˜˜ @ Dar es Salaam, Tanzania

Tupo tayari kuifanyia treatment wig yako pamoja na weaving yako na kuiosha kwa products bora na utaalam katika uoshaji. ...
29/07/2020

Tupo tayari kuifanyia treatment wig yako pamoja na weaving yako na kuiosha kwa products bora na utaalam katika uoshaji.

Tutaipa muonekano mzuri wig yako iliyo chafu/iliyochakaa/kufubaa kwa Tsh. 20,000/= tu.

Karibuni tunapokea wig mikoa yote๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
0673564669 ๐Ÿ’›

17/07/2020

Hair Products for all hair type

Shampoo, Conditioner, Hair Spray, Hair Oil/Serum
Suitable for your hair.

Kuifanya nywele yako ing'ae izidi kupendeza na kuwa na muonekano mzuri hizi ndio products nzuri za kutumia katika utunzaji wa Nywele yako.

Tupo Dar mikoa yote tunatuma
0673564669

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gladness Malakasuka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category