Uchambuzi wa Movies & Series

Uchambuzi wa Movies & Series Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Uchambuzi wa Movies & Series, Cinema, abasimwishehe@gmail. com, Dar es Salaam.

Salman Khan askar mpelelez wa india anafall in love na Katrina kaif ambae ni askar mpelelez wa Pakistan bila kujua. wana...
24/04/2025

Salman Khan askar mpelelez wa india anafall in love na Katrina kaif ambae ni askar mpelelez wa Pakistan bila kujua. wanakuja kujua wakat ambao washazama penzi

kaz na mapenz wachague nn mana mataifa yao ni maadui hawatakiw kua pamoj??

mapenz yanashinda wanaamua kwenda mbaal sana ili wakaishi maisha ya kawaida wanaandamwa na watu wa mataifa yao wanakua wanted

zipo 3 🔥

yuda alipomsaliti yesu alilipwa sarafu 30, yesu akakamatwa na kutundikwa msalaban ndipo yesu alipomlaan yuda yeye na hik...
24/04/2025

yuda alipomsaliti yesu alilipwa sarafu 30, yesu akakamatwa na kutundikwa msalaban ndipo yesu alipomlaan yuda yeye na hiko alicholipwa yaan sarafu 30. yuda kwa aibu akaenda kujinyonga na kuziangusha zile sarafu 30 zilizolaaniwa.

maelfu ya miaka imepita na sasa shetan na watu wake wanazitafuta zile sarafu 30 zenye laana ya yesu ili waweze kuitawala dunia

mchungaj yupo kwa ajili ya kupambana na ushetan huo
fire 🔥after fire🔥

Ni nyakati za alfajir bint akiwa anaswal chumban kwake anahisi ujio nyumban kwao, akamaliza kuswal haraka anaenda ukumbi...
23/04/2025

Ni nyakati za alfajir bint akiwa anaswal chumban kwake anahisi ujio nyumban kwao, akamaliza kuswal haraka anaenda ukumbin anakuta baba yake anachinjwa na wananchi wenye hasira Kali, sababu baba yake ni mganga hvyo wananchi wamechoshwa na mauza uza

bas mmiliki Majin kafa lakin Majin yapo yanaendelea kutamba atakaekera familia ya mganga anakufa. hivyo jamii ikaandamana ikihis mke wa Yule mganga ndo anafanya balaa.

hivyo sheh mmoja mwenye busara akataka mama huyo aape kiapo cha kifo yaan aveshwe sanda alale K**a ni kwel karoga mtu akilala atakufa mazima.

basi wakamfanyia hvyo lakin alipolala akaona bint yake wa kambo anaswal nyuma yake Kuna mashetan kibao na hatmae pepo likamuingia. kwa hyo yeye akaamka akasalimika na mikon ya wananch wenye hasira kal lakn alchokiona ikawa siri yake.

So Majin yakawa yanamnyima Aman bint akiwa anaswal yanamdhihak wanakaa nyuma yake eti na wao wanaswal Tena wanaitikia K**a maamuma waitikiavyo nyuma ya imamu, Mara wamshike bega wamtishe,

hatimae bint akawa kiti. akikasirika tu maruhan yanapanda, atakaemkera Majin yatamuua
nini hatima ya ustadhat huyu? Fuatilia kisa hiki

ni nzur kuangalia usiku😅😅

Karibuni wapenzi wa movies na series aina zote actions, romance, fantasy, horror, comedy na descriptions za mastaa ktk u...
23/04/2025

Karibuni wapenzi wa movies na series aina zote actions, romance, fantasy, horror, comedy na descriptions za mastaa ktk uchambuzi mfupi 🎥

Address

Abasimwishehe@gmail. Com
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Uchambuzi wa Movies & Series posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category