Mc Madafa

Mc Madafa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mc Madafa, Art Gallery, Dar es Salaam.

28/05/2026

Baada ya Skukuuu kukesha Leo Napost hii namna tunavyofunga Sherehe kazini kwangu

wape Chalange waambie kwenye festival nitakuwepo jukwaani 🐴🐴🐴🐴🐴

25/05/2026

Ukitaka kujua Raha ya furaha kutoka ndani ya moyo isiyo na showoff Hii video ndio Maana Halisi

NASHINDWA KUSEMA NASKIA KUWAOMBEA MUISHI MKAONE BARAKA ZENU NA VIZAZI VYENU
Asanteni

Sisters, my team .maids_crew
My family, Tuishi tuenjoy tusiwe wabaya kwa wengine
❤️💞❤️
゚viralシ ♥️
WE ARE SHINING ✨✨✨✨

24/05/2026

Story hii hapa .vax91 Ndie Mwalimu Wangu Huyu
Mkiona nasakata Amapiano Huyu Hapa
Umetisha Kijana Wangu Mungu akuinue zaidi
🐎

24/05/2026

Huyu Bwana Anaitwa .vax91 nitamuelezea kwenye post ya mbele hapo 🤣🤣🤣🤣

24/05/2026

Speech za Muhimu zinaendelea Hapa
Asante mdogo wangu Mungu azidi kukuinua Dada yangu Wewe na familia yako
WE ARE SHINING ✨✨✨/

24/05/2026

Usimdharu Mtu Maneno makubwa Sana ya Baraka kwa Dada Yangu 🙏🙏🙏
It’s all about
WE ARE SHINING ✨✨✨/

22/05/2026


Thank you Jehova Shama 🙏

21/05/2026

Kwa Maana jinsi hii,Mungu aliupenda ulimwengu,
ANANIPENDA NAMI ALLAN JULLIUS MADAFA 🎂

Niseme nini Mimi nashkuru Mungu sana nanyi fans wote
❤️
“Upendo Huu Unanguvu”
💥

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mc Madafa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category