MEDIA SASA

MEDIA SASA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MEDIA SASA, Arts and entertainment, Dar es salaam, Dar es Salaam.

 "Nimepoteza kila kitu changu, ni k**a nimepoteza nusu yangu, najihisi nimepoteza mguu wangu mmoja na mkono wangu mmoja....
21/10/2024



"Nimepoteza kila kitu changu, ni k**a nimepoteza nusu yangu, najihisi nimepoteza mguu wangu mmoja na mkono wangu mmoja. Nimepoteza mtu muhimu kwangu, rafiki yangu tangu zamani, nimeendeleza urafiki mpaka anaaga nilikuwa hospitali mimi, mkewe na mtoto wake"

"Ukiniuliza nitamkumbuka Pembe kwa lipi ni k**a unaniuliza nikifa nitajikumbuka kwa lipi, swali hilo halina majibu kwangu😭 nimebaki mpweke nimebaki nusu, nusu yangu nyingine imeondoka nikiwa hapohapo hospitalini"- Mzee Senga


 Kutoka kwa refa Ramadhan Kayoko wa derby ya kariakoo ya Jana Kati ya Simba SC Tanzania na Young Africans Sports Club
20/10/2024



Kutoka kwa refa Ramadhan Kayoko wa derby ya kariakoo ya Jana Kati ya Simba SC Tanzania na Young Africans Sports Club


 Ahmed Ally AFUNIKA KOMBE ILI MWANAHARAMU APITE"Tunaumia kwa kupoteza mchezo wa derby lakini tunajipongeza kwa kuwa mrad...
20/10/2024



Ahmed Ally AFUNIKA KOMBE ILI MWANAHARAMU APITE

"Tunaumia kwa kupoteza mchezo wa derby lakini tunajipongeza kwa kuwa mradi wetu wa kutengeneza timu umeanza kutoa matunda tena kwa haraka sana

Wote ni mashahidi misimu kadhaa nyuma tulifungwa derby na kutawalia na mpinzani kwa dakika zote 90

Jana tumeona tofauti kubwa sana tumefungwa lakini tumeutawala mchezo kwa asilimia kubwa na k**a kila kitu kingekua sawa basi tungeshinda mchezo ule

Muhimu kwetu Wana Simba kwanza tukubali tumepoteza na wala hakuna haja ya kuanza kuhesabu tumepoteza mara ngapi, Mpira ni maisha ya duara muda wetu utafika na sisi tutatawala derby kwani tumewahi kufanya hivyo

Muhimu kwa sasa ni kusahau yote yaliyotokea na kujipanga upya kwa vita iliyo mbele yetu

Tumebakiwa na michezo 24 nguvu kubwa iwe kushinda michezo hiyo tumepoteza derby sio ubingwa

Na pia tuwekeze nguvu kwenye mchezo wetu Jumanne dhidi ya Tanzania Prison
Ubaya Ubwela unaendelea"


 Muigizaji wa vichekesho   afariki Dunia
20/10/2024



Muigizaji wa vichekesho afariki Dunia


 Walioshinda kwenye Tuzo za muziki Tanzania (TMA) usiku wa kuamkia leo hii.Diamond Platnumz - Msanii bora kiume wa mwaka...
20/10/2024



Walioshinda kwenye Tuzo za muziki Tanzania (TMA) usiku wa kuamkia leo hii.

Diamond Platnumz
- Msanii bora kiume wa mwaka
- Video bora ya mwaka (Achii)
- Wimbo bora wa Dansi (Achii)
- Mtumbuizaji bora wa mwaka

Harmonize
- Wimbo bora wa mwaka (Single Again)
- Albamu bora ya Mwaka (Visit Bongo)

Marioo
- Msanii bora wa Kiume
- Mwandishi bora wa Kiume

Zuchu
- Msanii bora wa k**e
- Mtumbuizaji bora wa k**e

Young Lunya
- Msanii bora wa Hip-hop
- Wimbo bora Wa Hip-hop (Stupid)

Christian Bella
- Msanii bora wa muziki wa Dansi
- Mtunzi Bora Dansi

Alikiba
- Wimbo bora wa mwaka (Mahaba)

Rayvanny
- Wimbo bora wa Singeli (Kitu Kizito)

Nandy
- Msanii bora wa k**e wa mwaka

Jux
- Kolabo bora ya mwaka (Enjoy ft Diamond)

Chino Kid
- Msanii bora Chipukizi

S2kizzy
- Mtozi (Producer) bora wa mwaka

Dullah Makabila
- Msanii bora wa Singeli

Folex
- Director bora wa mwaka

DJ Ally B.
- DJ Bora ma mwaka.

Etc.


20/10/2024




 KAYOKO amefanya makosa 3 Makubwa kwenye mechi ya SIMBA vs YANGA1) KOSA LA 1: Kawanyima SIMBA Penalt ambapo Kibu Denis a...
20/10/2024



KAYOKO amefanya makosa 3 Makubwa kwenye mechi ya SIMBA vs YANGA

1) KOSA LA 1: Kawanyima SIMBA Penalt ambapo Kibu Denis aliangushwa ndani ya Box

2) KOSA LA 2: Aliwanyima YANGA Penalt baada ya CAMARA kumchezea FOUL Musonda ndani ya BOX

3) KOSA LA 3: Alitakiwa Kumpa Hamza kadi nyekundu kwa kumuangusha DUBE akiwa ni mtu wa Mwisho

NB: KAYOKO ameimprove tofauti na mwanzo jana alikuwa anaacha ball itembee


 Kutoka kwa msemaji wa Azam FC bwana Hasheem Ibwe
20/10/2024



Kutoka kwa msemaji wa Azam FC bwana Hasheem Ibwe


 MSIMAMO WA NBC PREMIER LEAGUE
19/10/2024



MSIMAMO WA NBC PREMIER LEAGUE


19/10/2024

FT

SIMBA 0:1 YANGA

19/10/2024

DAKIKA YA 86
Goooooooooooooooal
MAX ZENGELI

SIMBA 0:1 YANGA

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MEDIA SASA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share