Chawa msafi

Chawa msafi BILA UBAGUZI SUPPORT CHAWA MSAFI
SUBSCRIBE YOUTUBE CHANNEL
https://youtu.be/OPgNm4Wq4-k

unamtambua kweli huyu
18/06/2026

unamtambua kweli huyu

churu anaomba mchango anunue simu kubwa
17/06/2026

churu anaomba mchango anunue simu kubwa

mimi sio mganga lakini nina uhakika ulipigiwa simu juzi na ex wako au ulimpigia ex wako k**a nimepatia mpe churu like na...
17/06/2026

mimi sio mganga lakini nina uhakika ulipigiwa simu juzi na ex wako au ulimpigia ex wako k**a nimepatia mpe churu like na comment

utafanyaje ukijikuta  kwenye Hali k**a hiiunak**atwa na watu usiowajua wanakupeleka sehemu ambayo ata hujui  wanakuingiz...
17/06/2026

utafanyaje ukijikuta kwenye Hali k**a hii

unak**atwa na watu usiowajua wanakupeleka sehemu ambayo ata hujui wanakuingiza kwenye chumba ndogo wanakufunga.
wao wantoka nje lakini hawajafunga mlango lakini wamekufunga na chain ili usitoke.

ukakaa pale bila kujua kinachofuata, ukaskia usingizi ukajilaza baadae kidogo unashtuka unaskia joto na hewa imekuwa nzito pale ndani, unaamua kujifungulia ili utoroke unafanikiwa kufungua chain na kuanza kuelekea mlangoni ambako kunaonekana kuko wazi ,

Unafika mlangoni unataka kitoka tu unajikuta umejigonga ukutani
kumbe huwo sio mlango ni picha tu imebandikwa ikafanania mlango,

unachanganyikiwa unaanza kuwa na hofu unageuka huku na huko kutafuta pakutokea unaona kma vitobo vya kuingizia hewa unakimbilia kuvuta hewa unakuta nako hakuna
ivo vitobo ni michoro ilofanana na vishimo tu,

unazidi kuogopa na jasho linakutoka., hewa inazidi kuisha ndani unatamani kupiga kelele lakini nguvu zinakuishia kabisa
unaona kifo machoni bila kujua utafanyaje.

Unaanguka chini tayari kungoja tu mwili uzime upoteze maisha ,
kwa mbali ukiwa hoi unaskia sauti inakuongelesha ikikutaka utoe ushirikiano nae utaje namba ya siri ya accout yako ya Bank yenye taslim shilingi bilion 50 la sivyo utaachwa ufe kwa kunyimwa hewa

je utaamua nini kutoa usirikiano au bora ufe tu

nani unamuona kwenye picha hii
16/06/2026

nani unamuona kwenye picha hii

good morng
16/06/2026

good morng

ukiamka mzima wa afya 🥰
16/06/2026

ukiamka mzima wa afya 🥰

unatuangalia ukiwa wapi
15/06/2026

unatuangalia ukiwa wapi

15/06/2026

mtu pekee bila vvu last chance😁

bila chuki ninunuliwe leo chakula niambie kwenye comment unalipa shingapi nitamuonyesha Muhudumu kuwa umelipa 😁
15/06/2026

bila chuki ninunuliwe leo chakula niambie kwenye comment unalipa shingapi nitamuonyesha Muhudumu kuwa umelipa 😁

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chawa msafi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category