24/03/2026
VUNJA MINYORORO NA FRESHMAN!
Hakuna gereza baya k**a lile la kifikra. Leo, Freshman kutoka Wazalendo Band anakusogezea ujumbe mzito wa ukombozi kupitia wimbo wetu mpya "BO***GE".
Huu ni darasa la maisha ndani ya miondoko ya Roots Reggae. K**a wewe ni mzalendo wa kweli unayependa muziki wenye maana, huu ni wako!
Tazama video hapa:
👉 https://www.youtube.com/watch?v=5uuqnnJV25E&list=RD5uuqnnJV25E&start_radio=1
***ge