23/12/2025
INASIKITISHA SANA.
Kipindi Cha nyuma tulizoea kuona Wadada wakivaa nguo zinazo onyesha mistari ya Chupi Kwa nje Ili kuwadatisha wanaume.
Huwezi amini Kwa Sasa mambo yame badilika, hawavai chupi tena ila wanavaa khanga au Dera tu huku imezama hapo kati huku wame jiachia Barabarani bila Wasiwasi.
Hii tabia imekuja Ghafla na inasambaa sana Kwa kasi Kwa Wadada Wengi, ila ukweli inakera sana.
Eti wanaume Bora kipi Sasa, hiyo mistari au nguo iingie hapo kati?