Alphard007

Alphard007 Entertainment and fanny news

19/10/2025

Mtoto wa Marehemu Dida Shaibu aitwae samira siku ya jana alikuwepo kwenye mahafali shuleni kwao ambapo hivi karibuni atamaliza kidato cha nne lakini pia Mista champagne alikuwepo kumpa faraja mtoto huyo. Kwakuwa alikuwa ni rafiki mkubwa wa mama yake 🥹

Tazama picha zaidi kwenye comments

Mfollow Swahili World

12/10/2025

Mwanafunzi huyu alitokwa na machozi ya furaha baada ya kukutana uso kwa uso na Daimond platnumz. Tukio hili limetokea wakati Daimond platnumz akishoot video ya wimbo wake mpya unaoitwa nani

Daimond platnumz ameonesha yeye ni mtu anae penda sana watoto. Baadhi ya wanafunzi hao alishoot nao video na wakati akishoot video hiyo alikuwa ana ishi na watoto hao k**a baba na watoto wake. Aise huyu Daimond hakika ni GOAT wa bongo fleva

11/10/2025

Paula alimzuia marioo kutoa video siku ya jana sababu ni kuwa paula alidai kwenye video hiyo kuna vipande hajalidhishwa navyo

Leo marioo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe unaosema nilitakiwa kutoa video jana k**a nilivyo ahidi lakini mpenzi wangu wivu umemzidi kanigomea kutoa kwa sababu anasema kuna vipande hajalidhishwa navyo asa kwa mfano hizo picha hapo zina ubaya gani jamani. Labda mseme nyie au mniombee kwa mchumba 😢😭🤯 nimefanya uwekezaji kwenye video hii 🤦

Hapo ndio mwisho wa ujumbe wake marioo cha ajabu paula amecomment kwenye post hiyo ya marioo akiandika ujumbe unaosema mxiuuu 😏😏 chefu

Tazama picha hizo zaidi kwenye comments

Pichani ni mtu mmoja hapo ni kabla na baada ya kujipata katika maisha je unapata Funzo gani la maisha kupitia picha hii ...
10/10/2025

Pichani ni mtu mmoja hapo ni kabla na baada ya kujipata katika maisha je unapata Funzo gani la maisha kupitia picha hii ya Niffer

Ukurasa huu baada ya kupata hitilafu tulia acahanaga nao kwa sasa tunatumia ukuta huu uitwa Alphard drake hakika raaha z...
29/07/2025

Ukurasa huu baada ya kupata hitilafu tulia acahanaga nao kwa sasa tunatumia ukuta huu uitwa Alphard drake hakika raaha zote zipo huku Naaam 🤝🤝🤝

Isarito pamoja na mpenzi wake ambae ni Mulky na Wao hawakuwa mbali kumpa sapoti zaiylisah wakati ana sherehekea birthday yake ya kutimiza miaka 26.

Ikumbukwe wote hawa ni waigizaji wa filamu za Bongo movie . Alicho kifanya isarito na Mulky hii nayo pia ni Maana halisi ya urafiki. Picha zaidi kwenye comments

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Alphard007 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share