Tii Misingi Bila Shuruti

Tii Misingi Bila Shuruti Rythm And Poetry

23/08/2022

KUNA ULAZIMA GANI WA KUPIGA PICHA NA MAKARANI WA SENSA AU NDO MAMBO YA BRANDING😀

01/04/2020

Wanga wanashangaa namna jah ananibless/
Sijawakosea na wananiombea murder kesi....

NIAMBIE MSTARI GANI UMEUELEWA ZAIDI.

Gusa link hapo chini👇🏿👇🏿 kuweza kusikiliza wimbo huu
https://youtu.be/b61_LxVooHA

Share,like,comment & Subscribe .

18/11/2019

Wimbo: Nje ya muziki
Mtayarishaji :
Studio:
Mchanaji :
Album : Shahada ya mtaa
Director :

HABARI NJEMA,Album ya “SHAHADA YA MTAA” toka kwa Mantiki Barz inapatikana kwa njia ya soft copy (Email,Whatsapp) kwa Tsh.10,000/= tu na cd kwa 12,000/=tu .
Namna ya kuipata ni rahisi sana;

Tuma pesa kwenda no. 0654520554,0685878289 au 0756295726(Jina la Mpokeaji Jerry Muganda)

Kisha tuma ujumbe wa uthibitisho wa malipo na jina lako kupitia Whatsapp Namba. 0685878289 kisha utatumiwa album ikiwa na 20 pamoja na bonus tracks 3 papo hapo kwa njia ya WhatsApp au email.
ELIMU NA BURUDANI .




Cc:

16/08/2019

*TAARIFA*

NAPENDA KUKUKARIBISHA SHABIKI WA MUZIKI WA RAP KUSIKILIZA *MANTIKI BARS LONG-PLAYLIST PACKAGE* AMBAYO INAPATIKANA K**A *SOFT COPY* KUPITIA MTANDAO WA WHATSAPP KWA GHARAMA YA TSH.10,000/- TU .

*JINSI YA KUPATA PACKAGE HII*

TUMA PESA KWENDA NAMBA MOJA KATI YA HIZI ZIFUATAZO

AIRTELMONEY - *0685878289*
TIGO PESA - *0654520554*
M-PESA - *0756295726*

KATIKA NAMBA ZOTE JINA LITATOKEA *JERRY LEOBINUS MUGANDA* KISHA TUMA NENO *MANTIKI BARS* NA SMS YA UTHIBITISHO KATIKA NAMBA *0685878289*(WhatsApp)NAMI NITAKUTUMIA NYIMBO *40* PAPO HAPO.

IKUMBUKWE KUA SINA WIMBO KATIKA MTANDAO WOWOTE WA KUUZA MUZIKI HIVYO UKINUNUA KWANGU MOJA KWA MOJA UTAKUA UMEFANYA JAMBO JEMA KWANGU NA KWA JAMII YA WATU WA HIP-HOP KIUJUMLA.

NATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI NA KARIBUNI SANA .


wa uhakika







SAMBAZA/SHARE

Eeeeh!!! Ni Leo Jumanne  Ndani ya  katika@ladha3600  atazungumzia mengi usiyoyajua kuhusu yeye na muziki wake.TEGA SIKIO...
05/02/2019

Eeeeh!!!
Ni Leo Jumanne Ndani ya katika@ladha3600 atazungumzia mengi usiyoyajua kuhusu yeye na muziki wake.

TEGA SIKIO LAKO !!!! Kusikiliza 93.7 EFM kuanzia saa 9:00 alasiri

Eeeh!! bwana eeeh!" Ni Hip-hop saaaana!!







SAMBAZA/SHARE

 NEMBO RASMI
21/12/2018


NEMBO RASMI

Address

Pugu
Dar Es Salaam

Telephone

+255685878289

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tii Misingi Bila Shuruti posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share