Simba Damu

Simba Damu "Simba SC ni familia yetu. Jiunge, tusherehekee, ushinde pamoja nasi! πŸ”΄πŸ¦"

26/02/2026

Kwa davidkampista – Nimetambuliwa sasa hivi k**a mmoja wa mashabiki wake bora!

18/02/2026

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Makimbi Horombo, Henry Mbuvi

03/02/2026

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Takbiir Chakkour Lamassia, Daud Lameck Albert, Gabriel Barton, Assau Bwalia, Moses Bou

πŸ”₯⚽ Simba SC Wapo Safarini! πŸ”₯Wekundu wa Msimbazi bado wapo safarini, wakirudi, wakiwahi kufanya maandalizi ya CAFCL dhidi...
25/01/2026

πŸ”₯⚽ Simba SC Wapo Safarini! πŸ”₯
Wekundu wa Msimbazi bado wapo safarini, wakirudi, wakiwahi kufanya maandalizi ya CAFCL dhidi ya Esperance hapa Tanzania! πŸ‡ΉπŸ‡ΏβœˆοΈ
Kocha Steve Barker: "Kila mmoja anajua jukumu lake. Tunataka ushindi!" πŸ’ͺ❀️
Mashabiki, jiandae kwa nguvu, umoja na mabao! πŸ†πŸ₯…πŸŽ‰πŸ”΄βšͺ

πŸ”΄βšͺ LEO NI VITA, SI MECHI YA KAWAIDA βšͺπŸ”΄Leo Simba SC wanakabiliwa na kibarua kigumu. Hakuna nafasi ya makosa, hakuna nafas...
24/01/2026

πŸ”΄βšͺ LEO NI VITA, SI MECHI YA KAWAIDA βšͺπŸ”΄

Leo Simba SC wanakabiliwa na kibarua kigumu. Hakuna nafasi ya makosa, hakuna nafasi ya kulegea.
Ni dakika 90 za nidhamu, moyo, na kupigania heshima ya nembo.

Huu si mchezo wa majina β€”
πŸ‘‰ ni mchezo wa wanaotaka zaidi
πŸ‘‰ ni mchezo wa wanaojitoa

Mashabiki, hii ndiyo siku ya kusimama nyuma ya timu bila masharti.
Wachezaji, hii ndiyo siku ya kuonyesha Simba ni nani.

🦁πŸ”₯ Simba ni Damu. Mpaka mwisho.




24/01/2026

Libasse Gueye ameanza rasmi mazoezi na Simba SC, akijiunga na kikosi cha kwanza chini ya benchi la ufundi.

Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa Alain Anicet Oura anatarajiwa kujiunga na Simba SC ya Tanzania, ambayo kwa sasa ipo...
22/01/2026

Taarifa zilizotufikia zinaeleza kuwa Alain Anicet Oura anatarajiwa kujiunga na Simba SC ya Tanzania, ambayo kwa sasa ipo Tunisia kwa ajili ya mechi za CAF Champions League (CAFCL).

Inaelezwa mazungumzo yako hatua za mwisho, na kinachosubiriwa ni taratibu chache kabla ya klabu kutangaza rasmi.

Endelea kufuatilia page yetu kwa taarifa zaidi.



Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simba Damu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category