Media Assistant(T) Limited

Media Assistant(T) Limited A Media Company that will help You in managing all your Media Activities

Arranging Media Conferences, Events Coverage, Editing and magazine Productions, Graphic Designing, etc

Tuwasiliane kazi iendelee
02/05/2022

Tuwasiliane kazi iendelee

A Media Company that will help You in managing all your Media Activities

THE Management and All staff are wishing all esteemed customers Eid Mubarak...
02/05/2022

THE Management and All staff are wishing all esteemed customers Eid Mubarak...

Wishing all Christians around the world, Happy Holly Friday
15/04/2022

Wishing all Christians around the world, Happy Holly Friday

11/04/2022

Wewe ni mmiliki wa shule?
Au mzazi mwenye wanafunzi wa kidato cha sita? Umejipangaje kuhusu picha za mwanao au wanafunzi wako katika mahafali yanayokuja?
Sisi tunao mpango wa Tshs 25,000Tzs unapata picha 10 na moja kubwa wakati unachkua cheti lakini pia picha 25, Video Clip ya uchukuaji wa cheti na fremu ya Mbao ya A4 kwa 50,000Tzs.
Pia tutakurekodia tukio zima la shughuli kwa punguzo la 25% iwapo utaruhusu Media Assistant kuwa wapiga picha pekee kwenye mahafali yako.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane;
[email protected]

A Media Company that will help You in managing all your Media Activities

To all women in the world, we appreciate you!
08/03/2022

To all women in the world, we appreciate you!

Mama, ..tuko pamoja katika kuhakikisha nchi inasogea.Kazi njema
28/03/2021

Mama, ..tuko pamoja katika kuhakikisha nchi inasogea.
Kazi njema

Till we meet again champ..Rest well Tutaonana baadae...
22/03/2021

Till we meet again champ..
Rest well
Tutaonana baadae...

Brothers and SistersWikiendi imefika, na ni wakati wa KuBang na Pro24djs kupitia  kunzia saa tatu usiku kesho mpaka siku...
11/01/2019

Brothers and Sisters
Wikiendi imefika, na ni wakati wa KuBang na Pro24djs kupitia kunzia saa tatu usiku kesho mpaka siku itabapobadilika.
Bang With Pro24djs ni kipindi kipya Cha Redio kitakachokuwa kikirushwa kila wikiendi huku fursa kibao zikitolewa kwa vijana.
Muziki mzuri, habari mbali mbali za mastaa na elimu juu ya vitu mbali mbali tunavyokutana navyo katika maisha yetu ya kila siku.
Wiki hii Snura Mushi atafunguka mambo kibao kuhusiana na muziki wake, andaa maswali kwa Steve Nyerere na Calisah ambao watakuwa wageni wetu.
Sikiliza kipindi ushtukie mchongo wa 100,000 ukale bata na na mengine mengi.
Iskilizie kesho

Wazee na vijana,Kipindi chetu kile kinaanza leo kaka na dada zangu, kinaitwa Bang na Pro24Djs, kikali...Nimeshiriki kuki...
06/01/2019

Wazee na vijana,
Kipindi chetu kile kinaanza leo kaka na dada zangu, kinaitwa Bang na Pro24Djs, kikali...
Nimeshiriki kukijenga na nina imani ni kipindi kikali cha vijana wapenda Burudani, kitaruka TBC FM kuanzia leo mchana saa tisa mchana.
Kwa hiyo jamani leo nchi nzima ikifika saa 9 tuhamie hapo tuskilize ladha mpya ya mrindimo kizazi kipya kutoka TBC na Pro24Djs

Maongezi kati ya Mkurugenzi wetu Henry Mdimu na Mkurugenzi wa Africa Swahili TV Emanuel Likuda kuhusiana na ushirikiano ...
24/11/2016

Maongezi kati ya Mkurugenzi wetu Henry Mdimu na Mkurugenzi wa Africa Swahili TV Emanuel Likuda kuhusiana na ushirikiano mpya wa kikazi

Miss Tanzania, Lilian Kamanzima akiosha gari la timu ya Veterans ya Tabora katika harambee ya Media Car Wash inayoendele...
25/06/2016

Miss Tanzania, Lilian Kamanzima akiosha gari la timu ya Veterans ya Tabora katika harambee ya Media Car Wash inayoendelea katika uwanja wa Jamhuri Dodoma kuchangia wanahabari wanaokabiliwa na matatizo mbali mbali ya kiafya inayoendeshwa na wabunge pamoja na wasanii wa kizazi kipya

Kamati ya Media Car Wash for Health bungeni leo
24/06/2016

Kamati ya Media Car Wash for Health bungeni leo

Address

Tegeta Kibaoni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Media Assistant(T) Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Media Assistant(T) Limited:

Share