08/08/2026
JANGWANI
π¨ ;Mabingwa wa nchi Yanga wapo mbioni kuk**alisha mazungumzo na Petro de Agosto kwa ajili ta Mshambuliaji Aurellio DEPU.
Kinachondela kwa sasa kati ya Yanga na Petro de Agosto ni juu ya mchakato wa malipo ambao Yanga wameomba dau la $500,000 k**a Ada ya kuvunja mkataba wake wa miaka miwili.
Yanga wamempa ruhusa Mshambuliaji Aurellio Depu kufanya mazunguzo na Petro de Agosto.Muda wowote kuanzia Jumamosi Depu ataondoka Tanzania kwenda nchini Angola kwa ajili ya kuk**alisha usajili wake ndani ya kikosi cha Petro de Agosto.