Boytz Movie Hub

Boytz Movie Hub �Karibu Boytz Movie Hub. House of Movies na Series za kila aina.hollywood,Bollywood,Korean,Anime.N.K

Hii Ndio List Ya Movies Mpya Zilizotafsiliwa Week Hii Na Mwamba Dj Mark 🔥🍿🎬Kwa Wale Wadau Wangu Wa Week Mnicheki Whatsap...
22/07/2026

Hii Ndio List Ya Movies Mpya Zilizotafsiliwa Week Hii Na Mwamba Dj Mark 🔥🍿🎬

Kwa Wale Wadau Wangu Wa Week Mnicheki Whatsapp Mzigo Upo Tiyari Ni Wewe Tu Anii Kulipia Na Kutumiwa Chaap Kwa Haraka 🤝

Ukihitaji Zote Au Mojawapo Nicheki Whatsapp Chaap Mzigo Bado Upo On Firee Anii 🔥🙌

Bei Ya Kila Movie Moja Hapo Utaipata Kwa 1,000/= Tuu Ani 😱

Fanya Kunicheki Whatsapp Kwa Namba Hizi : 0711374199

K**a Hujawahi Kumfuatilia Tom Holland Au Hujui Uanze Na Movie Gani Kati Ya Kazi Zake, Basi Hii List Ni Kwa Ajili Yako 🍿🎬...
18/07/2026

K**a Hujawahi Kumfuatilia Tom Holland Au Hujui Uanze Na Movie Gani Kati Ya Kazi Zake, Basi Hii List Ni Kwa Ajili Yako 🍿🎬🔥

Tom Holland Ni Miongoni Mwa Waigizaji Vijana Waliopata Umaarufu Mkubwa Duniani, Akijulikana Zaidi Kupitia Nafasi Yake K**a Spider-Man. Lakini Nje Ya Ulimwengu Wa Marvel, Ameonyesha Uwezo Mkubwa Katika Movie Za Action, Adventure, Drama, Thriller Hadi Survival.

🎥 Hizi Ni Baadhi Ya Movie Na Blockbuster Kali Zaidi Alizoshiriki, Ambazo Zimechangia Kujenga Jina Lake Na Kumfanya Kuwa Mmoja Wa Mastaa Wakubwa Wa Kizazi Chake 🙌

K**a Unapenda Action Kali, Adventure, Mapambano, Story Zenye Hisia Na Uigizaji Wa Kiwango Cha Juu, Basi Hizi Ni Movie Ambazo Hupaswi Kuzikosa 💯🔥

Swali Ni Moja Tuu… Kati Ya Movie Zote Za Tom Holland, Ipi Ni Kali Zaidi Kwako 🤔

Movie Hub

18/07/2026

👉 Ni movie ya action/martial arts inayomuhusu Wang Wei, mwanaume wa kawaida ambaye maisha yake yanabadilika baada ya binti yake Rainy kutekwa na mtandao hatari wa wahalifu.

Baada ya polisi kushindwa kumsaidia, Wang Wei anaamua kuchukua sheria mkononi na kuanza msako mkali wa kumtafuta mtoto wake.

Katika safari hiyo anakutana na Navin, mwandishi wa habari anayechunguza mtandao huo wa uhalifu huku pia akimtafuta mke wake aliyepotea.

Wawili hao ambao walikuwa wageni wanajikuta wakishirikiana, wakipambana dhidi ya genge la wahalifu kwa kutumia uwezo wao wa mapigano ili kuokoa waliowapoteza na kuvunja mtandao huo.

Hii Ni movie yenye mapigano mengi ya karibu (hand-to-hand combat), kisasi, ujasiri na vita kali, ikiwa na mtindo unaofanana na filamu k**a The Raid kwa upande wa choreography za mapigano 🔥🙌

Full nicheki whatsapp : 0711374199

Hii Ni Week Ya Vigongo Vitupu Yaani Humo Ni Non-Stop Action Movies 😱Hii Ndio List Ya Movies Mpya Zilizotafsiliwa Week Hi...
13/07/2026

Hii Ni Week Ya Vigongo Vitupu Yaani Humo Ni Non-Stop Action Movies 😱

Hii Ndio List Ya Movies Mpya Zilizotafsiliwa Week Hii Na Mwamba Dj Mark 🔥🍿🎬

Kwa Wale Wadau Wangu Wa Week Mnicheki Whatsapp Mzigo Upo Tiyari Ni Wewe Tu Anii Kulipia Na Kutumiwa Chaap Kwa Haraka 🤝

Ukihitaji Zote Au Mojawapo Nicheki Whatsapp Chaap Mzigo Bado Upo On Firee Anii 🔥🙌

Bei Ya Kila Movie Moja Hapo Utaipata Kwa 1,000/= Tuu Ani ✍️

Fanya Kunicheki Whatsapp Kwa Namba Hizi : 0711374199

🎬 KARIBU BOYTZ MOVIE HUB 🎬Tunayo furaha kubwa kuwakaribisha kwenye ukurasa wetu mpya wa burudani. Hapa utapata movies na...
13/07/2026

🎬 KARIBU BOYTZ MOVIE HUB 🎬

Tunayo furaha kubwa kuwakaribisha kwenye ukurasa wetu mpya wa burudani. Hapa utapata movies na series mbalimbali zenye ubora mzuri kwa ajili ya kukupa burudani muda wote. 🍿🔥

Tupo kwa ajili ya kuwahudumia na kuhakikisha mnapata burudani bora zaidi.

❤️ Like, Follow na Share ukurasa wetu ili usikose movie mpya zinapopatikana.

Karibu sana kwenye familia ya BOYTZ MOVIE HUB 🎥✨

Address

Boko
Dar Es Salaam
BASIAYA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Boytz Movie Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category