Cit-Media

Cit-Media

๐—›๐—˜๐—Ÿ๐— ๐—ฌ ๐—š๐—จ๐—˜๐—Ÿ๐——๐—œ๐—–๐—›๐Ÿšจ ; Uongozi wa Mabingwa wa nchi Yanga,Upo tayari kumrudisha kocha wao wa Viungo Helmy Gueldich k**a matakw...
30/05/2026

๐—›๐—˜๐—Ÿ๐— ๐—ฌ ๐—š๐—จ๐—˜๐—Ÿ๐——๐—œ๐—–๐—›

๐Ÿšจ ; Uongozi wa Mabingwa wa nchi Yanga,Upo tayari kumrudisha kocha wao wa Viungo Helmy Gueldich k**a matakwa ya kocha Nassredine Nabi atajiunga na Yanga.Kwenye masharti ya Nabi ambayo ametoa Kwa Viongozi wa Yanga ni kumrudisha kocha wa Viungo Helmy Gueldich kwenye bechi lake la ufundi.

;Yanga kwenye mazungumzo yao wanataka kukamilisha Ujio wa Nabi kabla Ligi Kuu haijaisha ili kumpa wigo mpana wa kufanya maamuzi kwenye Usajili mpya wa msimu ujao k**a Nabi atakubali tena kurejea ndani ya Jangwani.

๐Ÿšจ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ถ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ ๐——๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ถ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—ด๐—ผ๐—น๐—ถ ๐˜๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐˜๐—ฎ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ญ๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜„๐—ฒ.! ๐Ÿ˜๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ Timu ya Taifa ya Zimbabwe leo ilicheza mchezo wa kutaf...
30/05/2026

๐Ÿšจ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ถ๐—ป๐—ฐ๐—ฒ ๐——๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ถ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—ด๐—ผ๐—น๐—ถ ๐˜๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐˜๐—ฎ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ญ๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜„๐—ฒ.! ๐Ÿ˜๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ

Timu ya Taifa ya Zimbabwe leo ilicheza mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa mashindano ya Unity Cup dhidi ya India huko London, nchini Uingereza.

Zimbabwe wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 huku Prince Dube wa Yanga akiwa ndiye mfungaji wa bao hilo, akifunga kwa kutumia mkwaju wa penati... Usisahau ku follow page hii โœ๏ธ Yangachampions TZ. .

๐Ÿ”ฅUEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL ๐Ÿ”ฅ๐ŸŒŸHALFTIME โ›ณ๏ธ๐Ÿ’™paris saint German 0๏ธโƒฃ=1๏ธโƒฃ Arsenal โค๏ธโšฝ๏ธKai Harvetz  #
30/05/2026

๐Ÿ”ฅUEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL ๐Ÿ”ฅ

๐ŸŒŸHALFTIME

โ›ณ๏ธ๐Ÿ’™paris saint German 0๏ธโƒฃ=1๏ธโƒฃ Arsenal โค๏ธ

โšฝ๏ธKai Harvetz

#

๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐† ๐๐„๐–๐’ : PEDRO GONCALVES ๐Ÿ”„ AZAM FOOTBALL CLUBS Azam FC wako kwenye mazungumzo ya mwisho na Kocha wa zamani wa Yan...
29/05/2026

๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐† ๐๐„๐–๐’ : PEDRO GONCALVES ๐Ÿ”„ AZAM FOOTBALL CLUBS

Azam FC wako kwenye mazungumzo ya mwisho na Kocha wa zamani wa Yanga SC Pedro Goncalves ili kuchukua mikoba ya
Kocha Floriet Ibenge ambaye ataondoka mwishoni mwa Msimu huu.

Ikumbukwe Ibenge anaenda kujiunga na Timu ya Taifa ya Mali mara baada ya msimu kuisha.

๐Ÿ‘‰Pedro ni Chaguo la Kwanza la Azam FC katika Orodha yao.

๐™๐™๐˜ผ๐™‰๐™Ž๐™๐™€๐™ ๐™‰๐™€๐™’๐™Ž: SIMBA YAMUWANIA MAX NZENGELI? Taarifa zinadai kuwa uongozi wa klabu ya Simba SC unaangalia uwezekano wa k...
29/05/2026

๐™๐™๐˜ผ๐™‰๐™Ž๐™๐™€๐™ ๐™‰๐™€๐™’๐™Ž: SIMBA YAMUWANIA MAX NZENGELI?

Taarifa zinadai kuwa uongozi wa klabu ya Simba SC unaangalia uwezekano wa kuanza mazungumzo na wasimamizi wa kiungo mshambuliaji Max Nzengeli kwa ajili ya usajili wa msimu ujao wa mashindano.

Inaelezwa kuwa Simba imevutiwa na uwezo wa nyota huyo kutokana na ubora wake wa kutengeneza nafasi, kasi yake akiwa na mpira pamoja na uwezo wa kucheza maeneo tofauti ya ushambuliaji.

Hata hivyo, bado hakuna makubaliano rasmi yaliyofikiwa mpaka sasa huku taarifa zikisema hatua za awali za mawasiliano ndizo zinafikiria kuanza muda wowote kuanzia sasa.

Endapo dili hilo litakamilika, Max Nzengeli anaweza kuwa mmoja wa usajili mkubwa wa Simba kuelekea msimu mpya.

  Shughuli imekwisha, Serengeti Boys wanakwenda fainali...!FT: Misri 0-0 Tanzania (Pen: 3-4)Inafuata Senegal vs Morocco ...
28/05/2026

Shughuli imekwisha, Serengeti Boys wanakwenda fainali...!

FT: Misri 0-0 Tanzania (Pen: 3-4)

Inafuata Senegal vs Morocco LIVE

FARHAN JR: OKELLO ANASTAHILI KUWA MVP WA LIGI."Allan Okello sio mchezaji wa mechi ndogo k**a wanavyosema baadhi ya wacha...
28/05/2026

FARHAN JR: OKELLO ANASTAHILI KUWA MVP WA LIGI.
"Allan Okello sio mchezaji wa mechi ndogo k**a wanavyosema baadhi ya wachambuzi. Mtu akisema Okello ni mchezaji wa timu ndogo muulize akuletee mchezaji wake anayefanya k**a Okello. Unajua sisi wachambuzi kuna mda huwa tunaongea kiushabiki ila niwaambie tu pale tunapofanya kazi za watu za kuelimisha jamii kuhusu mpira tujitahidi kuwa na uweledi".
"Mimi binafsi sitoshangaa kuona Okello akiwa MVP (Mchezaji bora wa Ligi) kwa huu moto anaouonesha. MVP ni suala la numbers, ukiwa na namba nzuri basi unastahili. Niwaambie tu kwenye ligi hakuna mechi ndogo"
FARHAN JR, Mchambuzi CLOUDS FM.


...

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅImesalia michezo mitano Ya ligi kuu ya NBC kutamatika ๐Ÿšจunahisi nani ataibuka mshindi kwenye hizi mbio za ubingwa  ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘€ ...
27/05/2026

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅImesalia michezo mitano Ya ligi kuu ya NBC kutamatika ๐Ÿšจunahisi nani ataibuka mshindi kwenye hizi mbio za ubingwa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‘€







Follow for more tips ๐Ÿ™๐Ÿ™

URAFIKI WA KWELI ๐Ÿค๐Ÿ—ฃ๏ธ Ronaldo Nazรกrio: โ€œNimelala  na Roberto Carlos mara nyingi zaidi kuliko wanawake wote niliowahi kuwa...
27/05/2026

URAFIKI WA KWELI ๐Ÿค

๐Ÿ—ฃ๏ธ Ronaldo Nazรกrio:

โ€œNimelala na Roberto Carlos mara nyingi zaidi kuliko wanawake wote niliowahi kuwa nao,โ€ Mbrazil huyo aliliambia jarida la Sports Illustrated.

โ€œTulielewana sana, alikuwa mwenzangu chumbani kwa miaka mingi. Nimetumia miaka 20 ya maisha yangu pamoja naye, tukiwa Real Madrid, timu ya taifa ya Brazil, na Sport Club Corinthians Paulista.โ€

๐ŸšจKAMA UMEMTAMBUA TUKUTANE KWENYE COMMENTS ๐Ÿšจ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
27/05/2026

๐ŸšจKAMA UMEMTAMBUA TUKUTANE KWENYE COMMENTS ๐Ÿšจ

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cit-Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category