Yanga family

Yanga family Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yanga family, Game Publisher, Dar es Salaam.

🟢🟡⚫TARIFA RASIMI 📝 KUTOKA KWA AFISAHABARI NAMAWASILIANO WA Young Africans Sports Club  AMETOA TARIFA KUHUSU MICHEZO MITA...
26/05/2026

🟢🟡⚫TARIFA RASIMI 📝 KUTOKA KWA AFISAHABARI NAMAWASILIANO WA Young Africans Sports Club AMETOA TARIFA KUHUSU MICHEZO MITANO ILIYO SALIA 🔥AMEAHIDI KUWA WAMEJIPANGA VILIVYO ✌️ILI KUPATA MATOKEO MAZURI KATIKA MICHEZO YOTE AME WAAHIDI WANACHAMA NAMASHABIKI KWA UJUMLA MIPONGO WALIO IWEKA NIKWAJILI YA KUWAFURAHISHA 🤣PIA KATOA KAURI YA KIBABABE KUA MSIMU HUU ALANI OKELO ATACHUKUA TUZO 🏆 YAMFUNGAJIBBORA K**A UPO PAMOJA NA AFISAHABARI ALLY KAMWE ANAHITAJI NENO MOJA KUTOKA KWENU 🙏SEMA ✊YANGABINGWA💪🫶

⚫🟡🟢 WANANCHIIIIII 🔥 TUKOPAMOJA ✊🇹🇿 Young Africans Sports Club HAIJAPOA KWENYE USAJILI MSIMU UNAOANZA YANI NIMWOTO MWANZO...
26/05/2026

⚫🟡🟢 WANANCHIIIIII 🔥 TUKOPAMOJA ✊🇹🇿 Young Africans Sports Club HAIJAPOA KWENYE USAJILI MSIMU UNAOANZA YANI NIMWOTO MWANZO MWISHO

🟢🟡⚫Hapa nadhani mmepata picha🖼️halisi ya Young Africans Sports Club kwa nguvu waliyo nayo yakuona mbali ⚽kimpira Sasa na...
26/05/2026

🟢🟡⚫Hapa nadhani mmepata picha🖼️halisi ya Young Africans Sports Club kwa nguvu waliyo nayo yakuona mbali ⚽kimpira Sasa nambieni kwa uwezo WA Alan OKELO niwakushindanishwa nawatu k**a hawa kwanza kaanza katikati ya MSIMU ila walioanza asha wapita nakinala ndoivo k**a unavyo ona anakuja kumpita yanga Africans inajicho la kuona mbali ⚽ kwenye soka 🔥🎖️kaja mayele kawasha moto mpaka wapinzani wakawa hawa mpendi 🎖️🔥kaja Aziz k kasumbua sana LIGI ⚽ yabongo 🔥🎖️sasaamekuja Alan okelo ndo amekuja na balaa kubwa kwenye LIGI yetu nayeye ametengeneza history hakuna alieweza kufunga MAGOLI k**a anayo yafunga Alan okelo napia kwamda ALIO jiunga na KIKOSI hakuna ambae angeweza kufanya Ivo🔥🎖️⚽

⚫🟡🟢 WANANCHIIIIII 🔥 TUKOPAMOJA ✊🇹🇿 UONGOZI ⚽WA CLUB YA YANGA AFRICANS 💚IMETOA TARIFA RASIMI 📝HUMUHUSU OKELO ALANI OKELO ...
26/05/2026

⚫🟡🟢 WANANCHIIIIII 🔥 TUKOPAMOJA ✊🇹🇿 UONGOZI ⚽WA CLUB YA YANGA AFRICANS 💚IMETOA TARIFA RASIMI 📝HUMUHUSU OKELO ALANI OKELO AMESAJILIWA DILISHA DOGO MPAKAKA SASA 🔥 ANA MAGOLI "11"NA ASISITI "7"NDOANAE ONGOZA KUWA NAMAGOLI MENGI YANGA AFRICANS AKIFUATIWA NA DUBE ✊AKIWA NA MAGOLI "9"WE SASA 🔥 ALANI OKELO AMEAHIDIWA ✌️KUKABIDHIWA GARI 🚘AINA YA MASIDEZI BENZI 🔥KWAKUFANYA VIZURI NDANI YA MDA MFUPI HIYO KAJITOLEA ENG.HERISI PIA GARIBU GSM NAE PIA KASEMA ATAKUA NAMPATIA MILIONI MOJA KILA ATAKAPO FUNGA✌️AKIMUHAIDI IVYO BADA YA MCHEZO WA JANA DHIDI YA NAMUGO AMEKUA NAMUENDELEZO MZURI WA KUFUNGA MAGORI 2KILA MECHI CLUB IMEJITOLEA KUMSAPOTI KILA HATUA

⚫🟡🟢FIFA WAMEAMUA ✊KUINGILIA KATI KUHUSU SAKATA LA NYOTA ✨WAWILI ALANI OKELO  MCHEZAJI WA YANGA NA CHAMA MCHEZAJI WA SIMB...
26/05/2026

⚫🟡🟢FIFA WAMEAMUA ✊KUINGILIA KATI KUHUSU SAKATA LA NYOTA ✨WAWILI ALANI OKELO MCHEZAJI WA YANGA NA CHAMA MCHEZAJI WA SIMBA 🏆WANAZUNGUMZIA TUZO ZINAZO TOLEWA BILA MIPANGILIO SAHIHI🙌FIFA WANASIFIA JITIHADA 🔥ZA TASISI YA NBC KWA KUUNDA K**ATI YA KUTOA TUZO KWA WACHEZAJI WANAO FANYA VIZURI WANASEMA ⚽OKELO KAVUNJA LEKODI YA KUSIKOO MECHI TATU MFURULIZO MAOGOLI2 HALIJAONEKANA ILA KINACHO LETA TAHALUKI NIKITENDO CHA KUONA KUCHUKUA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MECHI MALA 5MFURULIZO KWA CHAMA FIFA WAMESEMA K**A WAMEAMUA KUTOA TUZO🎖️🎖️🥇WATOE KWA HAKI KILA KITAKACHO FANYIKA VIZURI BASI WAKIONE📝📝

🟢🟡⚫[HT]1:1TUSUBILI KIPINDI CHA PILI TUONE INAKUAJE DAIMA MBELE NYUMA MWIKO💚YANGA AFRICANS BINGWA ✊ KAATAYALI KIPINDICHA ...
25/05/2026

🟢🟡⚫[HT]1:1TUSUBILI KIPINDI CHA PILI TUONE INAKUAJE DAIMA MBELE NYUMA MWIKO💚YANGA AFRICANS BINGWA ✊ KAATAYALI KIPINDICHA PILI 🇹🇿

🟢🟡⚫KIKOSI CHA LEO HAPO BADAE KINA NAENDA 🔥KUTAFUTA ALAMA3 ✌️ WANANCHIIIIII 🔥 TUKOPAMOJA ✊🇹🇿
25/05/2026

🟢🟡⚫KIKOSI CHA LEO HAPO BADAE KINA NAENDA 🔥KUTAFUTA ALAMA3 ✌️ WANANCHIIIIII 🔥 TUKOPAMOJA ✊🇹🇿

⚫🟡🟢ENG.HERIS SAID hajachoka kuingia sokoni💵Leo naimani wananchiiiiii 💚mtaenjoy kaingia Azam⚽kamuona BITEGEKO wananchiiii...
25/05/2026

⚫🟡🟢ENG.HERIS SAID hajachoka kuingia sokoni💵Leo naimani wananchiiiiii 💚mtaenjoy kaingia Azam⚽kamuona BITEGEKO wananchiiiiii 💚🔥 tunajivunia kuwa na ENG.HERIS SAID k**a umeukubali huu usajili unaokuja yanga basi k**a umeukubali sema 🔥💚YANGA AFRICANS BINGWA ✌️✌️ Young Africans Sports Club

🟢🟡⚫TARIFA RASIMI 📝KUHUSU PACOME  ENG.HERISI KATOA TARIFA KUELEKEA MCHEZO WA HAPO BADAE YANGA VS NAMUNGO SA12:15 RAISI WA...
25/05/2026

🟢🟡⚫TARIFA RASIMI 📝KUHUSU PACOME ENG.HERISI KATOA TARIFA KUELEKEA MCHEZO WA HAPO BADAE YANGA VS NAMUNGO SA12:15 RAISI WAYANGA AMEAMUA ✌️KUTOA TARIFA 🙏MWENYEWE KWASABABU ANAUCHUNGU NATARIFA HII KUMUHUSU PACOME ANASEMA MCHEZO WA LEO NIMUHIMU SANA🔥ILA HATUTAKUA NAE KWENYE KIKOSI CHA LEO KWASABABU YA MAJELAHA😭ALIYO NAYO ANASIKIYLTIKA KUTOA TARIFA 🙏 HII ILA ANAWAOMBA MASHABIKI✌️WA YANGA AKISEMA YANGA NITIM BORA INAWACHEZAJI⚽WAZURI ANAOMBA MASHABIKI✌️TUJITIKEZE KWANGI ILI IPATE USHINDI MKUBWA 🙌 🔥✌️🙏 Africans sc club

🟢🟡⚫SASA SINGIDA MMEMKASILISHA METACHA MNATA 🤔ONASASA ALICHO KIFANYA ✌️HAHAHAHAHA
25/05/2026

🟢🟡⚫SASA SINGIDA MMEMKASILISHA METACHA MNATA 🤔ONASASA ALICHO KIFANYA ✌️HAHAHAHAHA

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanga family posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category