Moshi sports center

Moshi sports center Kituo cha kukuza na kulea vipaji BUZA TEMEKE DAR ES SAALAM

wakati wa mungu ndio wakat sahh
25/04/2026

wakati wa mungu ndio wakat sahh

22/04/2026
OUR TIME IS NOW
22/04/2026

OUR TIME IS NOW

C:E:O WA MOSHI SPORTS ACADEMY AKIWA KATIKA ZIARA YA KUFANYA  SCAUT TYA VIPAJI PIA KUITAMBULISHA SHULE YA MICHEZO LEO AME...
15/04/2026

C:E:O WA MOSHI SPORTS ACADEMY AKIWA KATIKA ZIARA YA KUFANYA SCAUT TYA VIPAJI PIA KUITAMBULISHA SHULE YA MICHEZO LEO AMEFANIKIWA KUFIKA WILAYA MKINGA MKOA WA TANGA NA KUPOKELEWA VYEMA NA VIONGOZI WA TIMU RAFIK YA MOSHI SC

BAADA YA LIKIZO YA SKUKU YA PASAKA SASA TUMERUDI TENA KUENDELEZA TULIPOISHIA KARIBU KATIKA TAASISI YA MOSHI SPORTCENTRE ...
14/04/2026

BAADA YA LIKIZO YA SKUKU YA PASAKA SASA TUMERUDI TENA KUENDELEZA TULIPOISHIA KARIBU KATIKA TAASISI YA MOSHI SPORTCENTRE KUENDELEZA KIPAJI CHAKO

OUR TIME IS NOW MFC SCHOOL SOCCER COMING SOON
05/04/2026

OUR TIME IS NOW
MFC SCHOOL SOCCER
COMING SOON

DAR YOUTH TOURNAMENT MATUKIO MBALI MBALI KATIKA MASHINDANO YA VIJANA YALIONDALIWA NA CHAMA CHA MPIRA MKOA WA DAR ES SALA...
04/04/2026

DAR YOUTH TOURNAMENT
MATUKIO MBALI MBALI KATIKA MASHINDANO YA VIJANA YALIONDALIWA NA CHAMA CHA MPIRA MKOA WA DAR ES SALAAM AMBAPO MOSHI SPORTS WALIPOTEZA MCHEZO WA FAINAL KWA PENA3-4
O787710263

moshi sports centre second winner final DRFA TOURNAMENT AZAM COMPLEX
04/04/2026

moshi sports centre
second winner final
DRFA TOURNAMENT
AZAM COMPLEX

03/04/2026

buza mabegan

02/04/2026

moshi sports center yaendelea kugawa toxi kwenye tournament ya wachezaj chipkiz iliondaliwa na chama cha mpira wa miguu mkoa wa dar es salaam katika uwanja wa azam

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255656564393

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Moshi sports center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category