09/03/2021
Hongera sana kwa kuibuka kidedea/ kushinda challenge yetu ya
Umejibu vizuri, umetoa maelezo mazuri ya kufikiria na ya sayansi pia, and umetag pia. Hongera sana.
Zawadi yako: watch6+mikanda3+Wirelesss Airdots zenye Powerbank
Tafadhali tucheki WhatsApp 0768400453 kupanga utaratibu wa kupata zawadi yako.
Nichukue nafasi hii kuwashukuru ninyi nyote mlioshiriki challenge hii, hakika mmjitahidi ila ilibidi mshindi awe mmoja tu.
Naona challenge hii tuwe tunafanya kila week au mara moja kwa week mbili ili wateja wanaopenda bidhaa zetu ila hawana amount kwa wakati huo waweza kujaribu bahati yao ya kupata products zetu kupitia challenges
Mnapenda next challenge tuweke zawadi zipi?? Nasoma comment
Tusisahau kumpa hongera mshindi wetu, coz huenda kesho ukawa wewe na utapenda upongezweπππ