01/08/2026
Hald’s designs pia tutakuwa hapa East Africa Commercial & Logistics Center Ubungo bus terminal ya zamani, Eaclc🇨🇳🇹🇿 , tukiwahudumia na products zetu, kwa siku kumi 10 kuanzia leo.. Karibu sana☘️🌴
🇹🇿