Kaole Family

Kaole Family Utamu Umerejea..!!!

Ni wakati wa Kuirudisha thamani ya Sebule nyumbani kwako,familia ikae pamoja tena, kwa sababu wale waliokuteka enzi zile na kukufanya kwa pamoja uketi Sebuleni, na Majirani Madirishani kutazama Maigizo ya Kitanzania Wamerejea...!!!

05/01/2023
Kwa kazi hii kubwa aliyoifanya katika kipindi cha miaka mitano JPM anastahili kupewa mitano mingine
03/09/2020

Kwa kazi hii kubwa aliyoifanya katika kipindi cha miaka mitano JPM anastahili kupewa mitano mingine

Kuelekea ujio mpya wa :πŸ’’πŸ’«Wewe k**a mdau mkubwa wa familia hii unadhani ni team gani kati ya hizi itawasha moto mkali kus...
19/01/2020

Kuelekea ujio mpya wa
:
πŸ’’πŸ’«Wewe k**a mdau mkubwa wa familia hii unadhani ni team gani kati ya hizi itawasha moto mkali kushinda nyingine....?
:
πŸ’’Tupe maoni yako...?
:

MJUE MSANII WA KAOLE: DEBORAH:Jina kamili:DEBORAH DICKSON:Jina la sanaa: DEBORAH : Mwaka wa kujiunga KAOLE :2003: Orodha...
08/01/2020

MJUE MSANII WA KAOLE: DEBORAH

:Jina kamili:DEBORAH DICKSON

:Jina la sanaa: DEBORAH

: Mwaka wa kujiunga KAOLE :2003

: Orodha ya tamthilia alizocheza
~ZIZIMO
~GHARIKA
~FUKUTO

:Orodha za filamu alizocheza
~MY LOVE
~USIKU WA BALAA
~MASAILO
~MARIA WHITE...nk.


:Mahusiano: Hajaolewa

: Lugha: Kiswahili na Kingereza

:Chapati,maharage Ugali mlenda na Samaki
:Anapendelea :Kutizama movie

:Msanii wa Tanzania anayemvutia :Swebe na Chuma

:Msanii wa nje anayemvutia: W***y Smith na Rowan Atkinson(Mr.BEAN)

Unaweza kumfahamu zaidi kupitia instagram:
Facebook: Deborah Dickson

Kaole Family

MJUE MSANII WA KAOLE: ZABIBU:Jina kamili:ASHA JUMA:Jina la sanaa: ZABIBU : Mwaka wa kujiunga KAOLE :1999: Orodha ya tamt...
05/01/2020

MJUE MSANII WA KAOLE: ZABIBU

:Jina kamili:ASHA JUMA

:Jina la sanaa: ZABIBU

: Mwaka wa kujiunga KAOLE :1999

: Orodha ya tamthilia alizocheza
~Hujafa ujaumbika
~Jahazi
~Dira.
~Zizimo
~Taswira
~Ghalika
~Fukuto
~Rangi ya Chungwa
~Maneno ya kuambiwa
~Radi...n.k

:Orodha za filamu alizocheza :RIDHIKI,Shortcut,Housegirl,Mbuzi katika gunia,Nani kakuambia,Neno hilo sio dogo,Usiku wa balaa


:Mahusiano: Hajaolewa

:Familia : Mama wa watoto watatu

: Lugha: kiswahili

:Chakula : Ugali,Samaki na Dagaa
:Anapendelea :Kutizama movie

:Msanii Tanzania anayemvutia :Riyama Ally

Mwisho unaweza kumfahamu zaidi kupitia instagram:
Facebook: Juma






MJUE :KADADAA1. Jina kamili:Dorah .R.Mwakatete2. Jina la sanaa: kadadaa 3. Mwaka wa kujiunga KAOLE 20024. Orodha ya tamt...
03/01/2020

MJUE :KADADAA

1. Jina kamili:Dorah .R.Mwakatete

2. Jina la sanaa: kadadaa

3. Mwaka wa kujiunga KAOLE 2002

4. Orodha ya tamthilia alizocheza
~Radio
~Jahazi
~Dira.
~Zizimo
~Taswira
~Ghalika
~Tufani
~Baragumu....nk

5. Orodha za film alizocheza
(a)My wife
(b)Sikitiko langu
(c)Dar to lagoz
(d)penina
(e)Dangerous desire
(f)Family tears
(g)Full moon
(h)Woman of principle
(I)White maria
(J)My pastor...nk

6. Taaluma yake mbali na sanaa : Hotel management

7. Mahusiano: Ameolewa

8.Familia : Mama wa watoto wa nne

9. Lugha: kiswahili na Kingereza

10. Chakula : Sea food

11. Aapenda nyimbo za Gospel

12. Msanii Tanzania anayemvutia :Irene Paul

13.Msanii wa nje anayemvutia : W***y smith

14.Ndoto yake : kuona anaibua vipaji vingi na vifike kimataifa.

Mwisho unaweza kumfahamu zaidi kupitia inst: officialkadadaa2020
Facebook: Dorah Mwakatete

Jina: Shamila Rashid NdwangilaMwaka wa Kuzaliwa: 25/12/1969Jina la Sanaa: Bi' StarMwaka wa Kujiunga Kaole: 1999Tamthilia...
03/01/2020

Jina: Shamila Rashid Ndwangila

Mwaka wa Kuzaliwa: 25/12/1969

Jina la Sanaa: Bi' Star

Mwaka wa Kujiunga Kaole: 1999

Tamthilia nilizocheza: Fukuto, Radi, Dira, Zizimo, Sayari, Baragumu, Tetemo na Tufani.

Tamthilia Nyingine Nilizocheza: Nyavu, Single Mother, Kipusa na Jiwe

Filamu Nilizozicheza: Omtima, Kigodoro, Mama wa Marehemu, Mwajuma Ndala Ndefu, Je, Umefunga Mlango, Wageni Wangu, Mikono Salama, Chaka la Chuki, Kaa la Moto na Jike Dume

Kazi Nyingine: Mkulima wa Kilimo cha Mpunga na Mahindi na Mazao mengine ya biashara, Fundi Cherehani wa nguo za k**e pamoja na Ujasiriamali wa Sabuni ninazozitengeneza mwenyewe

Mahusiano: Nimeolewa na nina Watoto Watatu wa K**e.

Lugha Ninazozingumza: Kiswahili na Kingoni

Chakula nachopendelea: Wali wa N**i na Samaki Mbichi

Msanii wa Ndani Nayevutiwa nae: Odama

Msanii wa Nje nayevutiwa nae:LimenHo

Ndoto zangu: Kucheza Filamu nje ya Taifa langu la Tanzania

KWENU MASHABIKI WETU WOTEπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ
30/12/2019

KWENU MASHABIKI WETU WOTE
πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ

MJUE MSANII NDUMBAGWE MISAYO:Katika mfululizo wetu wa kukuletea taarifa mbalimbali za Wasanii wa Kaole wa tangu enzi hiz...
30/12/2019

MJUE MSANII NDUMBAGWE MISAYO:

Katika mfululizo wetu wa kukuletea taarifa mbalimbali za Wasanii wa Kaole wa tangu enzi hizo utapata nafasi ya kumfahamu Thea.

Jina lake halisi: Ndumbagwe Misayo
Jina la Sanaa: Thea

Mwaka aliojiunga na Kundi la Kaole: June 2003

Orodha ya thamthilia alizoshiriki: Tufani, Sayari, Baragumu Michakato, Siri za Familia, Usaliti, Jiwe, Kipusa n.k

Orodha ya Filamu alizoshiriki: Sengito ,Revenge ,Dadaz ukungu Malaika wangu, Fake Pastors, Moses, n.k

Chakula anachopendelea:
Pilau-kuku, Chapati, Matunda
Burudanianayopendelea: Watching Movies
Watoto: Ana mtoto mmoja wa kiume

Unaweza kutupa jina la msanii unayempenda ili tukuletee Taarifa zake popote ulipo.

Kwasasa follow account yetu rasmi
Facebook: Kaole Family
tz






JamiiForums

Address

Magomeni
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kaole Family posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Kaole Family:

Share