Jafa Love Media

Jafa Love Media Artist| Author| Geopolitical Analysis.

SINGLE MOTHER, WANAPAMBANA SANA. Hakuna single mother mzembe hapa mjini, wanaamka saa 9 alfajiri. Wengine wanaamka saa m...
24/07/2026

SINGLE MOTHER, WANAPAMBANA SANA.

Hakuna single mother mzembe hapa mjini, wanaamka saa 9 alfajiri. Wengine wanaamka saa moja usiku.
Yani hakuna kulala hakuna kupumzika, single mother Hawana haisia za mapenzi tena. Kwaiyo ukiambiwa I love you, uwe tayari Kwa majukumu yote mtoto au watoto wake.

UKIMTONGOZA SINGLE MOTHER, AKIKATAA. RUDI NYUMBANI KABADILISHE NGUO MAANA UNA MKOSI MKUBWA SANA.

Naitwa Jeniffer naishi Ubungo Kibangu, Nina mtoto mmoja wakiume miaka 12, natafuta kazi yoyote yenye heshima. Wadhamini ...
22/07/2026

Naitwa Jeniffer naishi Ubungo Kibangu, Nina mtoto mmoja wakiume miaka 12, natafuta kazi yoyote yenye heshima. Wadhamini na NIDA ninayo. Nawaomba sana jamani.

Kwa Sasa mimi na mtoto wangu tupo Kwa mdogo wangu ambaye amepanga Chumba na sebure, naona aibu sana Bora nipate kazi ili niondoke hapa kwa mdogo wangu.

Ukiwa tayari kunipa kazi au kuniunganishia. Naomba weka Namba au njoo inbox. NAOMBA KAZI IWE DAR, MAANA MTOTO WANGU ANASOMA HAPA .

21/07/2026

Nimewakumbuka sana hapa Facebook.

NAOMBA USHAURI WENU JAMANI.Kwenye picha ni mzazi mwenzangu aliondoka kwangu akiwa mjamzito na kuamua kwenda kuishi na mw...
15/07/2026

NAOMBA USHAURI WENU JAMANI.

Kwenye picha ni mzazi mwenzangu aliondoka kwangu akiwa mjamzito na kuamua kwenda kuishi na mwanaume mwingine, kwakua alipata ujasiri wa kuondoka kwangu huku anajua ana kiumbe changu tumboni na kwenda kwa mwanaume mwingine niliona Sina nafasi kwenye maisha yake huenda aliona mimi sistahili kua baba wa mwanae.. Kwaio siku kadhaa baada ya yeye kuondoka nilivuta jiko na Kwasasa naishi na mwanamke mwingine na nategemea kumuoa..
Nilisikia alijifungua na hajawahi nitumia picha za mwanangu nimuone.. Jana ilinibidi nimuombe picha za mtoto ndipo alinitumia akiwa hivi..
Imenishangaza sawa mtoto nimemuona Lakini sijamuelewa kwanini katuma picha yupo hivi..
Naombeni ushauri wenu huyu mwanamke atakua anamanisha nini?

Hapa waislamu wakisema Wakristo hawana akili, nani atabisha.Kitendo cha wazazi huko Marekani kupeleka watoto wadogo kwen...
12/07/2026

Hapa waislamu wakisema Wakristo hawana akili, nani atabisha.

Kitendo cha wazazi huko Marekani kupeleka watoto wadogo kwenye sherehe za ushoga ni LAANA KUBWA SANA.

Huwezi kuoa ujinga k**a huu unafanyika kwenye mataifa ya waislamu.

UNAWEZAJE KULA KIUMBE K**A UYU⁉️Twende mbele turudi nyuma, kweli kabisa Nguruwe anastahili kuwa najisi. Yani uyu kiumbe ...
07/07/2026

UNAWEZAJE KULA KIUMBE K**A UYU⁉️

Twende mbele turudi nyuma, kweli kabisa Nguruwe anastahili kuwa najisi. Yani uyu kiumbe hafai kabisa ata kidogo, kiumbe gani anakula mpaka mtoto wake mwenyewe. Yani uyu ndio mnyama mwenye laana zote.

Mfano mzuri ni baada ya Yesu kuwatoa mapepo kwa yule mchawi nakuwapa Nguruwe.

Mnyama anaingia period k**a binadamu, lakini bado watu wanakula nyama yake. Mtu anayekula Nguruwe, anaweza kula ata Nyama ya Binadamu maana hazina tofauti sana.

YANI KULITAZAMA TU, MIMI MATAKA KUTAPIKA HAPA NILIPO..🤮

07/07/2026

Serikali iliwambia wananchi chapeni KAZI 7-7 kutakuwa na amani kiko wapi?
NILIWAAMBIA SERIKALI NDIO WAMELETA TAHARUKI KWA JAMII.

NANI ANATISHIA  AMANI YA TAIFA.🇹🇿Ninacho shangaa ni kwamba tarehe 7/7 imekuwa na vitisho vingi sana kuliko kutekelezwa k...
06/07/2026

NANI ANATISHIA AMANI YA TAIFA.🇹🇿

Ninacho shangaa ni kwamba tarehe 7/7 imekuwa na vitisho vingi sana kuliko kutekelezwa kwa madai yanayotakiwa.
Hapa kwa Mimi Jafa mwenye IQ nasema Tayari waliodhamilia kuichafua nchi wameshinda Kabla ata ya tarehe husika.

TAZAMA mihemko ya vyombo vya usalama, njoo kwa watu baki. Yani kila mmoja anaongea lake, jambo ambalo bila wao kujua linajenga TAHARUKI NA HOFU KUBWA KATIKA NYANJA NYINGI MFANO:
👉Maonyesho ya SABASABA.
👉 BIASHARA za walipa Kodi.
👉Sikukuu husika ya SABASABA.
👉Amani ya kawaida kwa JAMII.

Nasema ivi kwasababu wanaosema wanataka kuandamana hatuwajui wala kuwaona. Lakini polisi tunawaona kwa macho ya nyama wakiwa na silaha nzito nzito za MOTO 🔥
Ni nani mjinga anaweza kumwamini polisi mwenye SILAHA mkononi saizi, akapita mbele yake siku ya tarehe 7 kwa vitisho vyote hivi⁉️

Sasa hapa nani anavuluga amani ya nchi ⁉️
1️⃣ POLISI WENYE SILAHA MITAANI.?
2️⃣ WANAHARAKATI WA MTANDAONI.?
3️⃣ WATOA MATAMKO MAKALI.?

Majibu yapo wazi, wavuluga amani ya Tanzania 🇹🇿 yetu pendwa ni .
👉POLISI pamoja na MACHAWA.
Sababu WANAHARAKATI wanalopoka tu kisha wanatulia zao kimyaa.

BILA KUTUMIA HEKIMA, MTACHEZEWA SANA AKILI NA WANAHARAKATI.

NJIA PEKEE YAKUFANYA WATU WAWAONE WANAHARAKATI NI WAPUMBAVU, NIKUTIMIZA YALE WANAYOTAKA WATU. SIO LAZIMA YOTE LAKINI ANGALAU MAMBO YA MSINGI.

1️⃣ KATIBA MPYA 🇹🇿
2️⃣ TUME HURU YA UCHAGUZI.🇹🇿
3️⃣ HAKI NA UWAJIBIKAJI.⛔
4️⃣ MIPAKA YA KIUTENDAJI.⚠️
5️⃣ HAKI ZA MUUNGANO.
Watu wa bara na visiwani wawe na haki sawa, ili kupata maana halisi ya muungano.

LAKINI KUENDELEA KUUA CHAWA KWA NYUNDO, MTAISHIA KUISHI KWA HOFU NAKUKOSA USINGIZI SABABU YA KUHOFIA WANAHARAKATI NA RAIA WAZARENDO.

The Last IQ Man, Artist Jafa 🎨✍️ 🇹🇿

Watu walioacha maisha ya ushoga na kujitolea au kujifanya kumtumikia Mungu ni pamoja na waandishi k**a Rosaria Butterfie...
05/07/2026

Watu walioacha maisha ya ushoga na kujitolea au kujifanya kumtumikia Mungu ni pamoja na waandishi k**a Rosaria Butterfield na Becket Cook, pamoja na mchungaji Christopher Yuan. Na wengine wengi hapa Tanzania.

SWALI KWANINI WAKIMBILIE KANISANI BADALA YA MSIKITINI.⁉️

Hapa kuna mifano ya watu mashuhuri waliobadilika kutoka katika mtindo huo wa maisha na sasa wanamtumikia Mungu:

1️⃣ ROSARIA BUTTERFIELD: 🇺🇲
Awali alikuwa profesa wa chuo kikuu, mwanaharakati wa kutetea haki za mashoga (LGBT), na aliishi maisha ya ushoga kwa miaka mingi akiwa k**a Bottom (Yani anaye ingiliwa)

Baada ya kukutana na Wakristo na kusoma Biblia kwa kina, alimpa maisha yake Yesu Kristo nakukili kuwa ni Bwana na mwokozi.

2️⃣ BECKET COOK: 🇺🇲
Alikuwa mbunifu maarufu wa mitindo (fashion designer) na muigizaji huko Hollywood aliyeishi maisha ya ushoga.
Baada ya kuhudhuria ibada kanisani na kupata uzoefu wa kiroho, aliamua kuacha mtindo huo na sasa anazungumza duniani kote akishuhudia neema ya Yesu Kristo.

3️⃣ CHRISTOPHER YUAN: 🇨🇳🇺🇲
Alikuwa kijana aliyefungwa jela kwa makosa ya mihadarati na aliishi k**a shoga.
Akiwa gerezani alimpokea Yesu, na leo ni mwalimu wa Biblia, mwandishi, na profesa msaidizi wa chuo cha Theologia (Moody Bible Institute) nchini Marekani.

4️⃣ DEUNDRAE COCKERELL: 🇺🇲
Kijana aliyekuwa kiongozi wa sifa (worship leader) ambaye aliwahi kuangukia kwenye maisha ya ushoga kabla ya kurudi kikamilifu kwa Kristo na kushuhudia nguvu za Mungu za kubadilisha maisha.

5️⃣ Philemon Aggrey: 🇹🇿
Agrrey alikuwa shoga kwa miaka mingi sana, akiwa upande wa bottom yani yule anaye ingiliwa na wanaume.
Alipata neema ya Mungu, kwa sasa anaishi maisha ya wokovu k**a mkristo mtiifu na ameachana kabisa na historia yake ya awali ya kujihusisha na ushoga.

6️⃣ AMOSI (ANTI ASU) 🇹🇿
Ni mwanamume wa ambaye alipata umaarufu mkubwa kwenye mitandao na vyombo vya habari nchini kutokana na historia yake ya kujihusisha na vitendo vya ushoga, kuishi k**a mwanamke, na hata 'KUOLEWA' na wanaume wenzake kadhaa.

Alianza tabia hizo akiwa mdogo sana, akawa maarufu kwa jina la 'AUNT ASU' kwa sababu ya matendo na muonekano wake wa k**e (ikiwemo kujitoboa masikio na kujaribu kutafuta matibabu ya kukuza matiti).
👉Aliwahi kuolewa na wanaume wengine nakuachika.
Kwa sasa ametangaza kuacha ushoga nakuanza kumtumikia Mungu akiwa k**a muinjilist.

SWALI KWA MUDA WOTE HUO WA MIAKA KARIBU 20 MPAKA 25. WANAWEZA KWELI KUACHA KABISA IYO TABIA, AU NDIO KWA SIRI SIRI ZEGE LINAKOLOGWA.

VIPI KUHUSU MAUMBILE YA NYUMA YANARUDI, AU NDIO UKIJAMBA MAVI, AKIKOHOA KIDOGO USHUZI ☺️😊

05/07/2026

TUSUBIRI MAMA AMALIZE:

Kwa sasa ni ngumu sana mtu kueleweka mbele ya serikali yetu ata k**a akiongea jambo la msingi kiasi gani.

Kwaiyo ni vema Kuwa wapole kuacha kujenga taharuki kisha kusubiri mpka mwaka 2030.

Sawa la katiba mpya ni faida ya kila Mtanzanzia, ila wachache tu ndio wanaelewa ilo.

Mimi nashauri tuache nchi ipumzike kidogo, viongozi serikalini acgeni midomo nakutoa matamko Kila Wakati uo ni uchochezi pia. Fanyeni kazi midomo midomo ya nini.

The Last IQ Man.✍️

Address

Ubungo Riverside
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jafa Love Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category