07/08/2026
📌 Sikiliza hadi mwisho ufahamu mazungumzo yalivyoenda…
🎥 tumekutana nao kwenye Silent Ocean UNI Awards Grand Finale, tukikuletea sauti za wabunifu na vijana wanaoandika historia katika tasnia mbalimbali.
Endelea kutufuatilia kwa mahojiano zaidi na matukio makubwa kutoka EACLC – Ubungo, Dar es Salaam.
🎙️Hosted by: Ellah Ellah🦋😘🦋
🔗 Join the Community | Follow: SANAA PODS📺