13/05/2026
Naomba uzao wako wa kwanza ukafanikiwe sana..
Namfunika kwa damu ya Yesu uzao wako wa kwanza kila silaha itakayo simama juu yake
Haitafanikiwa, kila mashambulizi ya adui nayazimisha kwa mamlaka ya jina la Yesu Kristo.
Kila laana iliyo tamkwa naibatilisha na kuwa Baraka
Kila mtego ulio tegwa nautegua kwa uwezowa ROHO MTAKATIFU
Kila kufuli lililo fungwa nalifungua kwa jina la Yesu Kristo...
Eeeh Mungu naomba ukambariki yule atakaye follow account hii na
Ukambarikikie uzao wake wa kwanza
Amen 🙏 🙏