11/01/2026
Picha mbao 🍒
Size A3 ☑️ (20×40cm)
Price: 25,000
Chagua picha zako nitumie mimi DM au WhatsApp ☎️+255677523114 nikutengenezee picha saa,picha mbao au frame ya kioo
Tambua picha ni zozote zinaweza zikawa katika picha mbao au picha za frame wewe nitumie picha zako nikutengezee kwa ubora mzuri kabisa.
🔵 Location📍dar es salaam📍 kigamboni
Deliver popote adi mikoan usalama mzury usiwe na shaka.
Mungu BARIKI KAZI ya mikono