13/06/2026
Kuelekea kikao Cha MWANAMKE WA THAMANI
Katika maandalizi ya Kikao cha Mwanamke wa Thamani, tulikubaliana kuwa kila mmoja aje na zawadi kwa ajili ya wenzake
Sisi Zayn Craft Designs | Handmade Art 🇹🇿 tulikaa chini, tukatafakari, na hatimaye tukachagua kuandaa kitu cha kipekee kabisa—zawadi inayobeba ubunifu, upendo, na utambulisho wetu
Hii si zawadi tu… ni sehemu ya thamani yetu k**a wanawake tunaojitambua
Usikae mbali na ukurasa wetu… kuna kitu kizuri kinakuja, na hatuwezi kusubiri ukione tulichokiandaa
Blandina Lukindo Jira bhai