Samia Trending Global news, Current Events and Comedy.

03/09/2024
03/09/2024
Mfanyakazi wa usafi kwenye uwanja wa ndege  Kano bwana Yakubu M***a Damkode ameokota Pesa za Kimarekani 10,000, Sawa na ...
30/08/2024

Mfanyakazi wa usafi kwenye uwanja wa ndege Kano bwana Yakubu M***a Damkode ameokota Pesa za Kimarekani 10,000, Sawa na 27,000,000 za Tanzania wakati akifanya usafi akazipeleka kwenye uongozi wa uwanja watangaze mwenye nazo arejeshewe.

Ingekuwa wewe ungefanya nini? 🤔

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha ambalo limefanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Ma...
14/03/2024

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Tamasha la Wanawake Sekta ya Fedha ambalo limefanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 14 Machi, 2024. Tamasha hilo limeandaliwa na Chama cha Wanawake Sekta ya Fedha (TAWiFA) kwa kushirikiana na Taasisi ya Mwanamke Initiatives (MIF) pamoja na TIRA.

"Joto nililolpata ni kwamba sasa mimi nakuwa Mkuu wa Nchi lakini pia Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yetu ya Ulizi Tanzania ...
10/03/2024

"Joto nililolpata ni kwamba sasa mimi nakuwa Mkuu wa Nchi lakini pia Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yetu ya Ulizi Tanzania sasa hii ni kazi pevu sana na k**a mnavyojua wakati ule marehemu Rais wetu anaondoka tulikuwa tumeanza miradi mikubwa sana mabwawa, reli, madaraja, Kigongo Busisi na mengine mengi tu kwahiyo kichwa kilizunguka nitakwenda kufanya vipi, ntapata wapi pesa ya kufaya yote haya"

"Lakini ile mapokezi ya Urais kwa mara ya kwanza Rais mwanamke unafanya nini mpaka watu waridhike kwamba unaweza, wakukubali kweli unaweza, ilikuwa inaumiza kichwa, k**a mnakumbuka wakati naingia dunia nzima iko kwenye janga la Covid-19 watu wanakufa na wewe ndiyo umeingia mpya huna malengo kwa sababu ukiomba utasema naomba Urais malengo yangu ni haya, mimi ukiacha malengo ya Ilani ya CCM sikuwa na malengo yangu binafsi" - Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

"Hakuna mwenye misuli wala ubavu wa kuharibu amani na usalama uliojengeka kwa miaka mingi kwenye taifa hili. Serikali it...
21/01/2024

"Hakuna mwenye misuli wala ubavu wa kuharibu amani na usalama uliojengeka kwa miaka mingi kwenye taifa hili. Serikali itasimamia kwa nguvu zote kuwepo kwa amani na usalama, tukitumia hekima na busara pia [...] Tanzania ni salama na Serikali ni wajibu wetu kuendelea kudumisha amani na usalama huo."- Mheshimiwa Rais Samia Suluhu katika ibada ya kumsimika kazini Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa

"Kujenga demokrasia si tu kuwepo demokrasia, lakini unahitaji wanademokrasia wakuijenga hiyo demokrasia yenyewe. Kwa bah...
21/01/2024

"Kujenga demokrasia si tu kuwepo demokrasia, lakini unahitaji wanademokrasia wakuijenga hiyo demokrasia yenyewe. Kwa bahati mbaya sio kila aliye kwenye michakato kidemokrasia ni mwanademokrasia, wengine ni wanaharakati."- Mheshimiwa Rais Samia Suluhu katika ibada ya kumsimika kazini Mkuu wa KKKT, Askofu Dkt. Alex Malasusa

Wananchi Wamenituma.
21/01/2024

Wananchi Wamenituma.

MAMA ANAZIDI KUIFUNGUA KIGOMASerikali imewalipa fidia wananchi 1,228 wanaopisha ujenzi wa Bandari Kavu ya Katosho, Kigom...
20/01/2024

MAMA ANAZIDI KUIFUNGUA KIGOMA

Serikali imewalipa fidia wananchi 1,228 wanaopisha ujenzi wa Bandari Kavu ya Katosho, Kigoma ambayo itakuwa moja ya uwekezaji mkubwa Kanda ya Magharibi utakaozinufaisha pia nchi jirani za Rwanda, Burundi, DRC na Zambia.

Miradi mingine mikubwa ya kiuchumi katika ukanda huo ni ujenzi wa SGR, barabara, ujenzi na ukarabati wa meli

Wawekezaji wazawa wamempongeza Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kwa kuendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji ikiwemo kupun...
19/01/2024

Wawekezaji wazawa wamempongeza Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kwa kuendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji ikiwemo kupunguza kiwango cha mitaji ya uwekezaji kwa asilimia 50 kufikia USD 50,000.

Kituo cha Uwekezaji Tanzania kinazunguka mikoa mbalimbali kuhamasisha wawekezaji wazawa kusajili miradi yao ili wanufaike na vivutio vya kikodi ikiwemo punguzo la ushuru wa forodha.

Tanzania imepeleka madaktari bingwa 12 nchini Zambia kutoa huduma za kibingwa za moyo kwa watoto na kuanzisha matibabu y...
18/01/2024

Tanzania imepeleka madaktari bingwa 12 nchini Zambia kutoa huduma za kibingwa za moyo kwa watoto na kuanzisha matibabu ya moyo nchini humo.

MAMA anaendeleza utaratibu wa Tanzania kuwa msaada kwa nchi nyingine k**a ilivyoasisiwa na Hayati Mwalimu Julius Nyerere.


Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Samia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category