Lokoma Tv

Lokoma Tv Broadcasting & media production company
Officials page For Lokoma Tv Channel

FIFA Series 2026 FT’ Macau 🇲🇴 0️⃣ - 6️⃣ 🇹🇿 ⚽️Charles ⚽️Mwamnyeto ⚽️Mudathir ⚽️Paul ⚽️Miroshi ⚽️Allarakhia
29/03/2026

FIFA Series 2026

FT’ Macau 🇲🇴 0️⃣ - 6️⃣ 🇹🇿
⚽️Charles
⚽️Mwamnyeto
⚽️Mudathir
⚽️Paul
⚽️Miroshi
⚽️Allarakhia

Staa wa Muziki nchini  (African Princess) ametangaza ujio wa wimbo wake mpya akiwa amemshirikisha mkali wa amapiano Scot...
29/03/2026

Staa wa Muziki nchini (African Princess) ametangaza ujio wa wimbo wake mpya akiwa amemshirikisha mkali wa amapiano Scotts Maphuna Kupitia insta story yake nandy ame-share video ikiwaonesha wanasikiliza ngoma hiyo wakiwa studio na Scotts "My brother its about time" Aliandika Staa wa bongo fleva

FIFA Series 202661’ Macau 🇲🇴 0 - 5 🇹🇿⚽️Charles⚽️Mwamnyeto⚽️Mudathir⚽Paul Peter⚽️Miroshi
29/03/2026

FIFA Series 2026

61’ Macau 🇲🇴 0 - 5 🇹🇿

⚽️Charles
⚽️Mwamnyeto
⚽️Mudathir
⚽Paul Peter
⚽️Miroshi

MAREKANI imepata pigo kubwa zaidi baada ya Iran 🇮🇷 kushambulia kambi yao ya Kijeshi iliyopo nchini Saudi Arabia itambuli...
29/03/2026

MAREKANI imepata pigo kubwa zaidi baada ya Iran 🇮🇷 kushambulia kambi yao ya Kijeshi iliyopo nchini Saudi Arabia itambulikayo k**a Prince Sultan Airbase na kufanikiwa kuipiga Ndege ya Kivita (Spy Plane) ambapo itagharimu zaidi ya dola Billion Moja kuitengeneza upya huku ikichukua muda mrefu. Sambamba na hilo wamepiga Stratotankers matatu yenye gharama ya dola Million 80 kila moja, Ndege hiyo ya Boeing E-3 kwa mujibu wa ripoti ni kuwa zipo 16 pekee na Mashariki ya kati zipo 40% kati ya hizo hivyo ni hasara kubwa kwa Marekani na pigo kubwa kwenye ulinzi wa anga kwakuwa hutumika kunusa hatari ya Mashambulizi ya anga. Kwa mujibu wa Mtalaam wa Masuala ya Kivita Kelly Grieco anasema hili ndio pigo kubwa zaidi tangu vita imeanza kwakuwa bila AWACS Jeshi la Marekani linapoteza nguvu kwenye ufuatiliaji na kupata cordinates sahihi kwenye uwanja wa vita.

28/03/2026

Timu ya mpira wa kikapu Tanzania imeibuka na ushindi wa Point 90 - 80 dhidi ya Timu na Nairobi City kutokea Nchini Kenya katika mashindano ya kimataifa ya Basketball Africa League yanayoendelea huko Nchini Afrika Kusini. Aidha Dar City wameendelea kuwa mwiba mkali katika mashindano haya baada ya jana Machi 27 kumchapa Giants kutoka Nchini Afrika Kusini kwa point 100.

Dar City yaichapa goli 100 Giants wakiwa nyumbani wako South Africa 🇿🇦 Neno moja kwa dar City
27/03/2026

Dar City yaichapa goli 100 Giants wakiwa nyumbani wako South Africa 🇿🇦 Neno moja kwa dar City

27/03/2026

Address

Empire Lokoma Limited

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lokoma Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Lokoma Tv:

  • Want your establishment to be the top-listed Arts & Entertainment?

Share