Cheka mpaka uzimie

Cheka mpaka uzimie NJOO TUFURAHI KWA PAMOJA Cheka uongeze siku za kuishi

11/04/2025

Halafu utasikia baba nimevunja assembly tunadaiwa yan utakufa vibaya wewe🤣🤣🤣🤣

11/04/2025

Run #

11/04/2025

Ngumu kumeza🤣🤣🤣😂😂😂

11/04/2025

Pastor k**a pastor 🤣🤣🤣🤣🤣

K**a kuna kaukwel flani hv😜😜😜😜
11/04/2025

K**a kuna kaukwel flani hv😜😜😜😜

11/04/2025

Tutafute fweza jameni dah🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌

08/01/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Selemani Mwinyi, Zec Zec, Daudi Lukumay, Aliath Amidu, Mariamu Jaydan, Afra Pokela

Kumbe ndiyo maana wazazi walikua wanatuimiza tule harakaharaka walikua wanaepuka mengi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
14/12/2024

Kumbe ndiyo maana wazazi walikua wanatuimiza tule harakaharaka walikua wanaepuka mengi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

14/12/2024

🇹🇿TANGAZO TANGAZO.🇹🇿

Kwa wale *mnaokuja* kula *christmas vijijini* zingatia yafuatayo:

1. Huku pia tuna TV lakini chaneli zetu ni TBC na ITV hakuna mambo ya kuangalia series na TV tunawasha kuanzia saa 2 usiku hivyo mkae kwa kutulia.

2. Mje na dada wa kazi huku hakuna mtu wa kubeba mtoto wako.

3. Hakuna kuchotewa maji ya kuoga mtoni unaenda mwenyewe.

4. Mje na midoli ya kuchezea watoto wenu wasije kutunyongea vifaranga.

5. Hakuna kuchinjiwa kuku hadi siku ya christmas.

6. Ukimaliza kuoga toka na sabuni kwa sababu hiyo hiyo ndo tunaoshea vyombo.

7. Ukija na mke au mume wako asianze kusema mboga hii akila anaumwa tumbo sisi tunakujua tangu ulivyokuwa mdogo ulikuwa unakula maembe yenye wadudu na haukuwahi kuumwa tumbo kwa hiyo mtakula chochote kitakachopikwa.

8. Huku hakuna kumbembeleza mtoto wakati wa kula akikataa kula sisi tunakula na tunamaliza.

9. Usiku hakuna kumulikiwa tundu la choo unapapasa na mguu tu.

10. Hakuna Kutupa ugali uliolala huo ni mkate wetu asubuhi.

11. Hakuna mto wa kulalia huku unalalia mikono tu.

12. La mwisho wale mliopo kwenye ajira zaidi ya miaka 10 na huku nyumbani hamjajenga mtakuwa mnalala kwa mwenyekiti.

Ahsanteni na karibuni sana. 🙏🙏

Address

Gongo La Mboto
Dar Es Salaam

Telephone

+255657491424

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cheka mpaka uzimie posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Cheka mpaka uzimie:

Share

Category