AMKEN GROUP chunya mjini

AMKEN GROUP chunya mjini AMKEN GROUP CHUNYA MJINI ni kikundi cha ushirikiano kinacho lenga kusaidiana,kuimarisha umoja

28/07/2026

NI MUHIMU KWA KILA MWANACHAMA KUFIKA

26/07/2026

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
AMKEN GROUP – CHUNYA MJINI

TAARIFA RASMI KWA WANACHAMA WOTE

Ndugu Wanachama,

Uongozi wa AMKEN GROUP unapenda kuwataarifu kuwa ulipokea taarifa ya msiba wa mwanachama mwenzetu aliyefiwa na kaka yake. Kwa mujibu wa taratibu na kanuni za kikundi chetu, wanachama 30 waliteuliwa kuiwakilisha AMKEN GROUP katika shughuli za mazishi zilizofanyika Tukuyu.

Tunafurahi kuwataarifu kuwa wajumbe wote pamoja na viongozi walioshiriki safari hiyo walifika salama na wamerejea salama.

Kwa mujibu wa utaratibu wa kikundi, wanachama wote wanatakiwa kurejesha jumla ya Shilingi 16,000/= (Kumi na Sita Elfu) kwenye Akaunti Kuu ya AMKEN GROUP.

Mchanganuo wa Fedha
• Sh 10,000/= – Ada ya Msiba.
• Sh 6,000/= – Pocket Money (Fedha za Chakula).

📅 Mwisho wa kurejesha fedha hizo ni tarehe 02/08/2026.

Uongozi unawasihi wanachama wote kutekeleza wajibu huu kwa wakati ili kuhakikisha mfuko wa kikundi unaendelea kuwa imara na kuwezesha utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kijamii kwa ufanisi.

Tunawatanguliza shukrani kwa ushirikiano na uzalendo wenu katika kuendelea kuijenga AMKEN GROUP.

Imetolewa na:
Idara ya Habari
Kwa niaba ya Uongozi wa AMKEN GROUP

Wanachama wa AMKEN GROUP CHUNYA MJINI  waliungana kwa pamoja kumfariji mwanachama mwenzetu uko tukuyu alie fiwa na kaka
25/07/2026

Wanachama wa AMKEN GROUP CHUNYA MJINI waliungana kwa pamoja kumfariji mwanachama mwenzetu uko tukuyu alie fiwa na kaka

Address

Chunya Mjini
Chunya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AMKEN GROUP chunya mjini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category