FPCT Vijana mikochen C

FPCT Vijana mikochen C page hii itatusaidia kujua yanayofanywa na idara ya Vijana na kanisa LA Fpct mabwepande

Tunaupiga mwingi
24/06/2024

Tunaupiga mwingi

20/03/2024
18/04/2022

Bwana Yesu asifiwe naomba nikuabarishe mkutano wa injiri ulioandaliwa na Idara ya wababa kwaushirikiano wa injiri ya kanisa la FPCT mikocheni C (mabwepande) siku tarehe 31/04-01/05 /2022 maombi na maombezi yatakuwepo
Pia kutakua na kwaya wenyeji na ngeni makanisa mbalimbali.
Unakaribishwa wewe mwenye itaji maalumu na muimbaji binafsi utapata nafasi
Kwamawasiliano zaidi tupigie namba:
Mwinjiristi Rabani :-0682372846
Mwinjiristi Valence :- 0765179421
wote mnakaribiswa

14/01/2022

Leo kutakua na mkesha hapa mabwepande mikochen c unakaribishwa mkesha utaanza saa tatu jioni mpaka saa 11 alfajiri nikwaajiri ya kumshukuru Mungu
karibu tumtukuze Mungu kwapamoja

14/01/2022

Bwana Yesu asifiwe ninaomba nikukaribishe kwenye mkesha wa kuzindua mafanikio yako

13/12/2021

Waliokosa kwakusingizia mvua mmekosa mengi

13/12/2021

jana jumapili ilipendeza sana

Address

Bahi
6991

Telephone

+255765179421

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT Vijana mikochen C posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category