Habari Maalum Studio A

  • Home
  • Habari Maalum Studio A

Habari Maalum Studio A Studio ya ukweli The music recording at Habari Maalum started in 1974, in Marangu on the slopes of Mt Kilimanjaro.

In 1983 the construction of the current studio in Ngaramtoni, 15 kms north west of Arusha was completed and since then Habari Maalum have recorded choirs and artists from all corners of East Africa.

Ofa Maalum ya Pasaka ya punguzo la asilimia 30% wahi nafasi ni chache!
05/03/2024

Ofa Maalum ya Pasaka ya punguzo la asilimia 30% wahi nafasi ni chache!

09/12/2023
Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma mbalimbali tunazotoa katika studio yetu unaweza kuwasiliana nasi sasa
05/12/2023

Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma mbalimbali tunazotoa katika studio yetu unaweza kuwasiliana nasi sasa

Studio session: Nkinga Christian Choir katika hatua ya Vocal Recording ndani ya Habari Maalum Studio ya Ukweli!
01/12/2023

Studio session: Nkinga Christian Choir katika hatua ya Vocal Recording ndani ya Habari Maalum Studio ya Ukweli!

Je unawafahamu Nkinga Christian Choir kutoka Tabora? Kwa neema ya Mungu  wapo ndani ya Studio za Habari Maalum Media wak...
28/11/2023

Je unawafahamu Nkinga Christian Choir kutoka Tabora? Kwa neema ya Mungu wapo ndani ya Studio za Habari Maalum Media wakiandaa nyimbo nzuri kwa ajili ya kumtukuza Mungu.

18/04/2023

Je? unafahamu faida unayoweza kupata pindi tu unaporekodi na Habari Maalum Studio A Msikilize Emmanuel Mtangoo mwenyekiti Msaidizi wa kwaya ya Tumaini - Shangilieni St. James akielezea faida hizo katika mahojiano kwenye kipindi cha Praise time ya 97.7 Habari Maalum Fm.

Tumaini Shangilieni St. James wakiwa ndani ya Habari Maalum Studio A katika awamu ya pili ya kurekodi sauti wakiongozwa ...
15/04/2023

Tumaini Shangilieni St. James wakiwa ndani ya Habari Maalum Studio A katika awamu ya pili ya kurekodi sauti wakiongozwa na Mwalimu wao John Mtangoo.
Tunawakaribisha sana na Mungu awabariki!

Peace and love Choir wakiwa ndani ya studio ya Habari Maalum Studio A wakiaandaa nyimbo zao kwa ajili ya ufalme wa Mungu...
11/04/2023

Peace and love Choir wakiwa ndani ya studio ya Habari Maalum Studio A wakiaandaa nyimbo zao kwa ajili ya ufalme wa Mungu.
Usisite kuwasiliana nasi kwa ajili ya kuja kufanya kazi nasi! Unaweza kutupigia kwa simu namba 0758545440 au whatsapp.

Sasa unaweza kuwasiliana nasi kupitia WhatsApp moja kwa moja kuweka booking kwa ajili ya Audio Recording iwe Single au A...
06/04/2023

Sasa unaweza kuwasiliana nasi kupitia WhatsApp moja kwa moja kuweka booking kwa ajili ya Audio Recording iwe Single au Album kwa ko mwimbaji binafsi, kwaya, kikundi au bendi. *Usisite kuwasiliana nasi sasa*

Karibuni sana Kwaya ya Tumaini St. James Habari Maalum Studio AWakongwe Habari maalum Media na Tumaini St. James wako ka...
05/04/2023

Karibuni sana Kwaya ya Tumaini St. James Habari Maalum Studio A

Wakongwe Habari maalum Media na Tumaini St. James wako kazini kumpa Mungu utukufu kupitia uimbaji kaa mkao wa kupokea kile kilicho bora!

Tunamshukuru Mungu leo kuwa na wadau wetu katika Studio ya Habari Maalum Studio A , Asante sana John Mtangoo na Francis ...
24/02/2023

Tunamshukuru Mungu leo kuwa na wadau wetu katika Studio ya Habari Maalum Studio A , Asante sana John Mtangoo na Francis kututembelea Mungu awabariki sana!

Address

P. O. Box 7292

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari Maalum Studio A posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

  • Want your establishment to be the top-listed Arts & Entertainment?

Share