ZamuPlus Digital

ZamuPlus Digital ZamuYangu is a Christian platform which spread Gospel to the world through Online Magazine & Online It's all about!!

50% OFF IN ▪︎ PRINTING SERVICES ▪︎ DESIGNING SERVICES ▪︎ BRANDING SERVICES WASILIANA NASI LEO. Namba kwenye Bio'
11/02/2026

50% OFF IN
▪︎ PRINTING SERVICES
▪︎ DESIGNING SERVICES
▪︎ BRANDING SERVICES

WASILIANA NASI LEO. Namba kwenye Bio'

DarEsSalaam||Utukufu na heshima kwa Mfalme wetu Yesu! Hatimae! BWANA ametupa kibali na Neema ya kumfanyia ibada Dar Es S...
26/06/2024

DarEsSalaam
||
Utukufu na heshima kwa Mfalme wetu Yesu! Hatimae! BWANA ametupa kibali na Neema ya kumfanyia ibada Dar Es Salaam! Ni Rasmi sasa ibada yetu itafanyika kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Ardhi, Tarehe 23, Agosti,2024.
||
BWANA atamfunua Kristo kwa namna ya kipekee! JIPANGE kushiriki na mjulishe na rafiki yako! Ni Bure kabisa!
||


16/02/2024

Bible Drill.
Men Vs Women



Muimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania Doreen Tito  anatarajia kuachia kazi yake mpya aliyoipa jina "hutoniacha Bw...
15/02/2024

Muimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania Doreen Tito anatarajia kuachia kazi yake mpya aliyoipa jina "hutoniacha Bwana" ameandika kupitia ukurasa wake kuwa...

Mungu wangu ni mwaminifu sana….Namshukuru kwa kuzidi kunipa nguvu na uhai wa kuendelea kuifanya kazi yake. Nimemuona na nazidi kumuona hajawahi niacha kweli…😢 Ananivumilia sana ni Yeye ananipenda upendo usio na mwisho ni yeye ninaemkimbilia. ameandika muimbaji huyo.





15/02/2024

PIGANIA MAISHA YAKO MWENYEWE - NABII MKUU GEORDAVIE



15/02/2024

1 Wakorintho‬ ‭15:10‬a
Lakini, kwa neema yake Mungu, nimekuwa k**a nilivyo, na neema yake kwangu haikuwa bure.


Umekuwa mwingi! Hivi dada  uliwaza maana na Mimi nakutana naye kila mahali pia. Amekuwa mwingi na bado wingi wake hauboi...
14/02/2024

Umekuwa mwingi!
Hivi dada uliwaza maana na Mimi nakutana naye kila mahali pia. Amekuwa mwingi na bado wingi wake hauboi. Ubarikiwe sana kwa kazi hii nzuri.



This is Quaresma. Consider your wayHagai 1:7
14/02/2024

This is Quaresma.
Consider your way
Hagai 1:7



Happy birthday Minister  Ishi sana.
14/02/2024

Happy birthday Minister
Ishi sana.





Hello friend, tumtakie kheri mtumishi huyu wa Mungu kwa njia ya uimbaji katika siku yake ya kuzaliwa.   Mungu akutunze n...
12/02/2024

Hello friend, tumtakie kheri mtumishi huyu wa Mungu kwa njia ya uimbaji katika siku yake ya kuzaliwa. Mungu akutunze na kukubariki Kwa kila hatua uipigayo.




Address

P. O. BOX 11849
Arusha
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255766231717

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZamuPlus Digital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to ZamuPlus Digital:

Share