12/07/2026
🙏 IBADA YA SHUKRANI 🤍
Baada ya SHANGILIKA 2026, hatuna neno jingine zaidi ya kusema Asante, Mungu!
Leo tumekusanyika kumrudishia Mungu utukufu kwa yote aliyotutendea. Kwa neema yake, tukio lilifanikiwa, mioyo ilibarikiwa na jina lake likatukuzwa.