Goodlyfetz Sports

Goodlyfetz Sports Page hii ni kwa habari | Michezo | Matokeo | Misimamo | Ligi zote

ππ‘π„π€πŠπˆππ†: UEFA imejiandaa kuwasilisha kesi ya ubaguzi wa rangi ya Vinicius-Prestianni πŸ›‘"Kesi itafunguliwa na wachezaji k...
18/02/2026

ππ‘π„π€πŠπˆππ†: UEFA imejiandaa kuwasilisha kesi ya ubaguzi wa rangi ya Vinicius-Prestianni πŸ›‘
"Kesi itafunguliwa na wachezaji kuripoti mambo yote waliyosikia na kuona uwanjani", anasema El Larguero.
"Itakuwa vigumu kuwa na uamuzi iwapo matusi ya ubaguzi wa rangi na unyanyasaji wa moja kwa moja hayataonyeshwa" ❗️

Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha rasmi marekebisho ya Katiba ya klabu ya Simba baada ya ku...
18/02/2026

Serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imeidhinisha rasmi marekebisho ya Katiba ya klabu ya Simba baada ya kukamilika kwa mchakato wa kisheria uliokuwa chini ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Michezo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Februari 18, 2026, Msajili wa Vyama vya Michezo nchini, Abel Ngilangwa, amesema marekebisho hayo yamefanyika kwa kuzingatia Sheria na Kanuni zote zinazosimamia vyama vya michezo nchini.
Haya yanajiri siku mbili tu baada ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda mnamo Februari 16, 2026 kumuagiza Msajili wa Vyama vya Michezo kuhakikisha kuwa mchakato wa marekebisho ya Katiba ya Simba unapatiwa majibu kabla ya mwezi kumalizika.
"Napenda kuufahamisha umma kuwa mchakato wa uchambuzi, tathmini na uidhinishaji wa marekebisho ya Katiba ya Klabu ya Simba umekamilika kwa mujibu wa Sheria ya Baraza la Michezo la Taifa Sura ya 49 na kanuni zake," - amesema Ngilungwa
Ngilangwa ameongeza kuwa Katiba hiyo iliyorekebishwa iliwasilishwa kwa mujibu wa Kanuni ya 11 ya Kanuni za Msajili wa Vyama vya Michezo T.S Na. 441 ya mwaka 1999 kwa ajili ya kupitiwa na kuidhinishwa.
Aidha ameeleza kuwa Msajili alitekeleza wajibu wake kwa mujibu wa Kanuni ya 11(3)(a) ya Kanuni za Msajili wa Vyama vya Michezo T.S Na. 441 ya mwaka 1999, inayomtaka kuhakikisha marekebisho yoyote ya katiba hayaathiri usalama, hayavurugi amani miongoni mwa wanachama au jamii kwa ujumla, wala kuathiri maendeleo ya chama.

Matokeo Ya Kandanda JanaFRANCE: Ligue 1 FT: Marseille 2:2 StrasbourgFT: Lille 1:1 BrestFT: Paris FC 0:5 LensGERMANY: Bun...
15/02/2026

Matokeo Ya Kandanda Jana
FRANCE: Ligue 1
FT: Marseille 2:2 Strasbourg
FT: Lille 1:1 Brest
FT: Paris FC 0:5 Lens
GERMANY: Bundesliga Standings
FT: Bayer Leverkusen 4:0 St. Pauli
FT: Eintracht Frankfurt 3:0 Borussia MΓΆnchengladbach
FT: Hamburger SV 3:2 Union Berlin
FT: Hoffenheim 3:0 Freiburg
FT: Werder Bremen 0:3 Bayern Munich
FT: Stuttgart 3:1 FC KΓΆln
ITALY: Serie A Standings
FT: Como 1:2 Fiorentina
FT: Lazio 0:2 Atalanta
FT: Inter 3:2 Juventus
NETHERLANDS: Eredivisie Standings
FT: Heracles 0:1 NAC Breda
FT: Excelsior 1:2 AZ Alkmaar
FT: Ajax 4:1 Fortuna Sittard
FT: Groningen 1:2 Utrecht
SPAIN: LaLiga Standings
FT: Espanyol 2:2 Celta Vigo
FT: Getafe 2:1 Villarreal
FT: Sevilla 1:1 AlavΓ©s
FT: Real Madrid 4:1 Real Sociedad
AFRICA: CAF Champions League Standings
FT: Al-Hilal Omdurman 1:0 St Eloi Lupopo
FT: Mamelodi Sundowns 2:0 MC Alger
FT: EspΓ©rance Tunis 2:0 Petro AtlΓ©tico
FT: Simba 1:0 Stade Malien
FT: RS Berkane 3:0 Rivers United
FT: Pyramids 3:1 Power Dynamos
AFRICA: CAF Confederation Cup Standings
FT: Al Masry 2:0 ZESCO United
FT: Zamalek 2:1 Kaizer Chiefs
FT: USM Alger 0:0 Olympique de Safi
BELGIUM: Jupiler Pro League Standings
FT: Leuven 3:2 Dender
FT: Charleroi 2:3 Gent
FT: Standard Liège 1:1 Royale Union SG
ENGLAND: Championship Standings
FT: Derby County 2:0 Swansea
FT: Portsmouth 0:1 Sheffield United
FT: Preston 2:2 Watford
FT: QPR 1:3 Blackburn
FT: Sheffield Wednesday 1:2 Millwall
SAUDI ARABIA: Saudi Professional League Standings
FT: Al Riyadh 1:1 Al Khaleej
FT: Al Najma 2:1 Al Kholood
FT: Al Fateh 0:2 Al Nassr
SOUTH AFRICA: Betway Premiership Standings
FT: Orlando Pirates 3:0 Marumo Gallants
FT: Polokwane City 0:0 Siwelele
FT: Chippa United 3:0 Richards Bay
TANZANIA: Ligi Kuu Bara Standings
FT: Tanzania Prisons 3:2 Namungo

Taarifa kutoka club ya Simba SC Tanzania
15/02/2026

Taarifa kutoka club ya Simba SC Tanzania

🚨 ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Kylian MbappΓ© ameachwa benchi kwa Real Madrid usiku wa leo! ⚠️πŸͺ‘Hatacheza dhidi ya Real Sociedad!
14/02/2026

🚨 ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Kylian MbappΓ© ameachwa benchi kwa Real Madrid usiku wa leo! ⚠️πŸͺ‘
Hatacheza dhidi ya Real Sociedad!

Je, unafikiri ni kweli? πŽπ…π‚πŽπ”π‘π’π„ πŸ˜πŸ€–π‚π‘πˆπ’π“πˆπ€ππŽ AMEFIKIA 9️⃣6️⃣2️⃣ 𝐂𝐀𝐑𝐄𝐄𝐑 π†πŽπ€π‹π’ ✨
14/02/2026

Je, unafikiri ni kweli? πŽπ…π‚πŽπ”π‘π’π„ πŸ˜πŸ€–

π‚π‘πˆπ’π“πˆπ€ππŽ AMEFIKIA 9️⃣6️⃣2️⃣ 𝐂𝐀𝐑𝐄𝐄𝐑 π†πŽπ€π‹π’ ✨

🚨 RASMI: Trent ANAANZA Klabu ya Real Madrid!Amerudi kwenye kikosi cha kwanza cha X
14/02/2026

🚨 RASMI: Trent ANAANZA Klabu ya Real Madrid!

Amerudi kwenye kikosi cha kwanza cha X

14/02/2026

Winga wa zamani wa Liverpool, Man City, Chelsea na Arsenal, Raheem Sterling ametangazwa k**a mchezaji mpya wa klabu ya Feyenoord ya nchini Uholanzi kwa mkataba mpaka mwisho wa msimu.
Sterling 31, raia wa England anajiunga na timu hiyo inayonolewa na Robin van Persie k**a mchezaji huru baada ya kuachana na Chelsea mnamo Januari 28 akishindwa kupata nafasi ya kucheza huko Darajani.
Sterling anaondoka kwenye Ligi kuu England baada ya miaka 14 tangu acheze mechi yake ya kwanza kwenye Ligi hiyo mnamo 2012 ambapo amefunga magoli 123 kwenye mechi 396 kwenye Ligi hiyo.

Send a message to learn more

⚽ Fiston Mayele – Kipindi Kigumu, Lakini Siyo Mwisho Wake!Mechi 19 mfululizo bila goli…Mechi 23 kwa klabu na timu ya Tai...
14/02/2026

⚽ Fiston Mayele – Kipindi Kigumu, Lakini Siyo Mwisho Wake!
Mechi 19 mfululizo bila goli…
Mechi 23 kwa klabu na timu ya Taifa bila kufumania nyavu…
Ndiyo, takwimu zinauma. Zinazungumza wazi. Lakini mpira wa miguu si namba tu β€” ni mzunguko wa hali ya juu na chini. Wapachika mabao wote hupitia ukimya wa muda, lakini si kila ukimya ni mwisho wa sauti.
Mayele si mchezaji wa kawaida. Ni poacher wa asili. Ni mshambuliaji anayejua nafasi, anayesoma mabeki, na anayehitaji sekunde moja tu kubadili hadithi ya mchezo. Kipindi hiki ni mtihani wa kisaikolojia zaidi kuliko uwezo wake.
Mashabiki wanachotakiwa sasa si lawama β€” ni sapoti.
Kwa sababu mara nyingi mshambuliaji mkubwa hurudi kwa kishindo pale wengi wanapomtilia shaka.
Once a poacher, always a poacher.
Form ni ya muda…
Class ni ya kudumu.

Mradi huu ni mradi wa Yanga SC na GSM sio mali ya mtu bali ni mali ya taasisi hizi mbili. Mradi huu utaendelea kujengwa ...
14/02/2026

Mradi huu ni mradi wa Yanga SC na GSM sio mali ya mtu bali ni mali ya taasisi hizi mbili. Mradi huu utaendelea kujengwa iwe mimi ni Rais wa Yanga ama lah. GSM na Yanga wanaowajibu wa kuhakikisha kuwa mradi huu unakamilika chini ya Kiongozi yoyote ambaye atakuwa Rais wa Yanga. Nimejenga msingi bora na imara ambao utafanikisha jambo hili bila kumtegemea mtu. Ikitokea mimi sio Rais wa Yanga, atakayechukua wadhfa huu anapaswa kujua analo jukumu la kuhakikisha ndoto ya Wananchi inatimia” Hersi Ally Said

Winga, Ecua Celestin πŸ‡ΉπŸ‡© amefunga mabao mawili kwenye ushindi wa mabao 5-0 ambao timu ya U20 ya JS Kabylie πŸ‡©πŸ‡Ώ imeupata Ja...
14/02/2026

Winga, Ecua Celestin πŸ‡ΉπŸ‡© amefunga mabao mawili kwenye ushindi wa mabao 5-0 ambao timu ya U20 ya JS Kabylie πŸ‡©πŸ‡Ώ imeupata Jana dhidi ya JS BORDJ MNAIEL.
Ecua hajasafiri kuja Zanzibar kwasababu ya makubaliano ya mkopo kati ya Yanga na Kabylie.

 :  Nyota wa Manchester United Matheus Cunha amefunguka kuhusu shabiki maarufu wa Man United aliyeshindwa kunyoa nywele ...
14/02/2026

: Nyota wa Manchester United Matheus Cunha amefunguka kuhusu shabiki maarufu wa Man United aliyeshindwa kunyoa nywele zake kutokana na United kutoshinda michezo mitano mfululizo akidai anachojali ni alama 15 tu na siyo nywele zake.
"Watu wana wasiwasi zaidi kuhusu kupata ushindi mara tano kwa sababu ya kukata nywele kuliko kuhusu pointi 15. Kwa hivyo, mimi hupendelea zaidi pointi 15, sijali kuhusu kukata nywele kwake hata kidogo” – Cunha.
Unakubaliana na Mtazamo wa Cunha?

Address

Lolovono Street
Arusha

Telephone

+255710329486

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Goodlyfetz Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share