25/12/2022
Kheri ya Krismas Wapendwa.
KWAYA MT. KIZITO OLOSIPA ARUSHA TUNAWAALIKA KUTAZAMA WIMBO WA NOEL ULIOPO KWENYE YOUTUBE ACCOUNT YA KWAYA YA MT. KIZITO OLOSIPA. ASANTE
Gusa link apa chini kuona ππΎππΎππΎ
Kwaya ya Kizito Olosipa Arusha, Kwaya mama ya Parokia ya Mt. Francisco Xavery Jimbo Kuu la Arusha.Karibu kutaza wimbo wa KrismasJina la wimbo LEO NI SHANGWE....