JÅBÅ TV

JÅBÅ TV 😂
Memes

Dm for business😜

Don't miss to follow👇👇

JÅBÅ TV
04/12/2024

JÅBÅ TV

💎💍😂Leo nimeingia club nikaitisha Captain Morgan Mzinga😎🍾🍸But nikaona watu wameniangalia sana nikasema siwezi kunywa na w...
03/12/2024

💎💍😂Leo nimeingia club nikaitisha Captain Morgan Mzinga😎🍾🍸But nikaona watu wameniangalia sana nikasema siwezi kunywa na watu wameniangalia😏so nikashout 🗣Waitor..Siwezi kunywa na watu wananiangalia pea kila Mtu yake😎..Watu kuskia hivo wakafurahi🥳🤗wengine wakaanza kudance💃🕺Baada ya kila mtu kupewa pombe..nikaitisha Chips kuku😎🤓..Tena nikaona watu wananiangalia, nikaambia waitor siwezi kula na watu wananiangalia..Pea kila mtu yake😎😎🤓wacha watu wafurahi🕺🕺wakaanza kuniita majina poa poa eti ooh Mkuu..Ooh our incoming President👉..wewe ndio budah boss sasa💪💪🤗...
Baada ya kumaliza kukula nikiitisha Bill nikaona tena watu wote wakaniangalia🙄..Nikashout🗣..Waitor Siwezi lipa na watu wameniangalia..pea kila mtu yake😎🤓...Sai vile naongea hivi sina Meno Nne kwa mdomo wakuu😭😭😰wacha nipakwe dawa narudi kumalizia story😂😩🙆🙆💍💎

Address

Lagos

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JÅBÅ TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category