Newtiee memes

Newtiee memes For fun only

27/04/2022

Wueeeh hata mkojo haijabadilisha rangi ndio hyo holiday ingne😅😅😅
Mtatumaliza na holidays 😅

22/03/2022

Hakuna vile wanaweza organize Dj Afro atangaze mpira
Ni swali tu🤭

13/01/2022
06/01/2022

Kwa wale wanajua English teeth inaitwaje kwa kiingereza

03/01/2022

Ubaya ya kuishi kwa nyumba ya mabati Ni jirani akipiga Bibi inabidi uende utoe tv kwa ukuta kwanza wamalize vurugu

AlwaysNewtiee memes

28/12/2021

Kuna msee hapa kwa kijiji tumekua tunabishana naye nikatumia neno apparently akasema niwache kuingiza wazazi ndani

01/12/2021

So there's this time nimeenda kwa beshte kumtembelea & by good luck or bad Dem wake akamvisit without notice so ikabidi wapande juu ya kitanda nikinegotiate na ma ancestors wasinisumbue nikitandika mkeka chini nipumzishe😅....so ka kawa ikabidi wafanye vile Eve alifanya na Ile nyoka pale garden of Eden u Know ☺️🤪😅so msee akacheza na panty😅😅😅mm huyo doshi imekauka unaweza dhani inataka kuundiwa wheelbarrow za UDA😅so juu n single room na kichwa nlikua nmeanika kwa vyombo yake nikasikia mkono imeanguka kwa elianto yake ya kupika😅juu ulikua violence nikaamua kuchukua Sheria mkononi u know😅ady ikaisha K**a vile term ya Uhuru inaelekea .....so asubuhi ndio Hawa sisi police station tunafanya kesi😅😅😅 infact nlimwaga mbele yao K**a maji imeosha vyombo😅😅😅

Si follow Newtiee memess✌Newtiee memes

28/11/2021

Sistee hakuna mwanaume atakwambia kuja nikuoe✌️✋wewe enda tu kwake ukatulie☺️akikufukuza bahati yako mbaya💔😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣

07/10/2021

Iko wapi ile matope watu huteleza na kufall inlove?

14/08/2021

Me naona Arsenal wanatumia bottom up approach 😅😅😅😅

Address

All Streets In Kanairo
Ruai

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Newtiee memes posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Newtiee memes:

Share

Category