22/01/2025
So Ka Moses ndio natoka Mt Sinai
Na k**a una have ku go through paper zangu utapata sina E.Kwa mfuko ni stone tablet though wengi wananiita stoner.So Ka ni dough,sina any.
So sorry if nilifaa kukukanja ndo upay attention.
Ubaya sina.Pia uzuri,ju bado mi sinner.
Nina Imani ju Patient pays though bila Hii money naskia huwezi toa kutu na Faith
So nime Jaa bidii ju mi Hukula Neno kila siku ngware,
Najua nitashake ulimwengu Ka Shakespeare.Na k**a akili ni Mali,bado Bob Marley.
Ndio natoka training na Niko fit for all MATCHES,ju naskia kuna wenye walizima Moto alafu wakafanyia kiberiti budget.Na usiniite grandpa.Mi ni buffalo soldier,Unaeza niita kifaru ju nimeshika NARE.
Niliskia dunia ni shule nikatoka High school na sare,Martha akanishow nisake MASHILINGI ata k**a kwa kichwa nilijaa na Rashes.Nikaamua kulea nywele baadae nikaepukwa na churches,
Kumbe walinijudge bila kupitia book of Judges,,,,
,,,,,,,,,
,,,,,,,,,,,,,
Listen more
P Toskey
https://youtu.be/7FNyxivc4z8?si=3iz_B18_U84hx1i0
Many ask who when and where is petoskeyNi petoskey overseer.Always on top Ka kofia...Daima niliapa mwanadamu kutomvulia kofia.,......,...