Abori Empire

Call Contact the establishment
20/09/2026

Abori ni kisiwa cha upendo❤️.

One love 🙏.

06/09/2026

From Daddy Hot Muabori 👇

Hii ngoma nikiitoa nilikuwa na maisha magumu sanaa hapa Nairobi, so ilifika mahali nika give up na life na nikaamua nataka kurudi home.

Nakumbuka nilienda kabisaa hapo OTC kwa stage ya Naekana Nairobi, but nikakumbuka before nitoke home Abori vile waabori walikuwa wananipenda na kunisupport na niliwapromiss kuipeperusha bendera ya mtaa na kuuheshimisha. Nikasema wacha nibaki Nairobi,nikapigia caretaker nikamuambia narudi kwa single room yangu siendi tena home😂 nakumbuka ilikuwa ya 3000.

Nikarudi,nikiwa nimetulia kwa nyumba ndio nikaanza kuwaza vile nitaifanya Abori iwe na heshima,na hapo ndio idea ya hii ngoma ya Abori ilitokea. Kesho yake nilienda studio sikuandika nilipata tu chorous nikarecord,verses zote ni freestyle.

Hii haikuwa nyimbo tu,ilikuwa ni ahadi na utabiri wa future yangu🙏.

Leo hii Abori sio brand tu,ni kampuni inayokua kwa kasi hapa Nairobi🙏,na niheshima ya mtaa wangu Abori kule Taveta🙏.

Wewe mpambana...ukiona umefika level ya kukata tamaa ujue umekaribia mafanikio so hapo unafaa kujikaza na kujitahidi zaidi hadi utoboe🙏.

Abori Empire 4 life🙏.

03/09/2026

Abori Empire events Nairobi.
We mean business💰.

30/08/2026

Daddy Hot Muabori aka ONE MAN ARMY💪.

Abori Empire 4 life🙏.

27/08/2026

From Daddy Hot Muabori 👇.

Nimenona juu siku hizi niliacha kukosoa viongozi na kufuatilia mambo ya kisiasa na kiuchumi ya Taveta😂😂😂,siku hizi watu hawanitusi so niko stress free😂😂😂.

Tukundane❤️👇.
https://youtu.be/G1qgYk454w0?si=3tbl1aELXTJuPl2U

Abori Empire 4 life🙏.

Address

Nairobi

Telephone

+254717277323

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abori Empire posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Abori Empire:

Shortcuts

Share